Picha: Monalisa Amewakumbusha Wengi kwa Picha Hii
2003…..Ubatizo wa mtoto wangu wa kwanza Sonia kanisani hapo KKKT USharika wa Yombo Dovya pembeni nipo na baba mtoto aliyekuwa mume wangu ambae sasa ni marehemu George Tyson.
Hii nimependeza jamani msicheke basi.
Monalisa on instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Jul
Picha ya Mwaka 1997 ya Monalisa Akiwa Mama Yake ‘Natasha Mamvi’, Yawafurahisha Wengi
Picha ya kitambo ya Staa wa bongo Movies, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ akiwa na mama yake mzazi ambaye pia ni staa wa Bongo Movies, Susan Lewis ‘Natasha’ aliyowekwa na Monalisa kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram imewafurahisha mashabiki wao wengi na kutupia komenti za kicheko na kuwasuifia kwa jinsi walivyotokelezea .
Monalisa alibandika picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa hiyo ilikuwa ni mwaka 1997.
“Haya nyie si wajuaji wa kucheka?chekeni sasa hadi mchoke,itaneni weeeee...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Picha: Wolper Awakuna Wengi kwa ‘Style’ Hii ya Aina Yake
Staa wa Bongo Movies ambaye anasifika kwa urembo na kazi zake, Jacqueline Wolper hivi juzi kati kwenye ukurasa wake mtandaoni alibandika picha hizo hapo juu akiwa amevalia style ambayo iliwafanya mashabiki wengi bonyeze kitufe cha LIKE na kushusha comment nyingi huku kila mtu akielezea ni jinsi gani ameguswa na mtindo huo aliotupia.
Kwa maneno ya lugha yta malkia, Wolper aliandika “Fashion is just another accessory for someone with great style...” na kuweka picha hizo.
Japo wengi...
10 years ago
Bongo Movies24 Feb
PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu
Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana.
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni...
9 years ago
Bongo Movies23 Dec
Picha: Monalisa Akiwa ‘On Set’ Tangazo Jipya la Comfy
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera ambazo staa mrembo wa Bongo Movies Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ame –share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni akiwa kwenye utengenezaji wa tangazo la magodoro ya comfy hiyo juzi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvuNAg-DOl6BlfFk2LD7K5DtVorvziMsaBVJ45kkKdpUDluaEb8cRR7pEkWylNaBgUaRAAmlEwVn9UQJMi3Z879F/image.aspx.jpg?width=650)
OBASANJO AVUTIA WENGI KWA KUJIPIGA PICHA KWENYE SIMU YAKE
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
PICHA:Wolper Afunga Mwaka Kwa Kuachia Hizi Zilizowachanganya Wengi!!
Ikiwa zimebaki saa chache tu tuuage mwaka 2014 na tuupokee mwaka 2015, mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa namna yake, ameacha gumzo mtandaoni baada ya kutupia picha hizi na kuwatakia kheri ya mwaka mpya mashabiki wake.
Picha hizi ambao alizitupia moja moja tangu jana zimeleta gumzo kubwa miongoni mwamashabiki wale ‘kindakindaki’ wa mwanadada huyu, kwani wengi hasa vidume wameoneka kuchanganywa kabisa na picha hizi na wengi wao wamejikuta wakiachia "comment" za kumsifia hadi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sQz0jxSRF8E/VToKVAQTuGI/AAAAAAAAsiA/Zqy4QvTuJQY/s72-c/wema%2Bsepetu990.jpg)
PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO
![](http://api.ning.com/files/nBD8FQWarq-4R4WFf5QoJ*rzQSw0U9KUDL31XKiP1mNjS1erGKSqtvZe1mZJKHS51JEut23QP6TvboUuWotlUSMi6vmJn78e/wemasepetu.jpg)
The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
PICHA:Kuwa Wakwanza Kuziona Picha za Kwanza za Lulu Kwa Mwaka Huu
Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mtandandaoni ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu kwa mwanadada huyu kufanya “Professional Photo Shoots” chini ya manifester brand.
Jionee hapo juu picha za mrembo huyu alizopigwa akiwa maendo ya gereji.
Wengi wamezipenda, wewe je?