Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha ya Mwaka 1997 ya Monalisa Akiwa Mama Yake ‘Natasha Mamvi’, Yawafurahisha Wengi

Picha ya kitambo ya Staa wa bongo Movies, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ akiwa na mama yake mzazi ambaye pia ni staa wa Bongo Movies, Susan Lewis ‘Natasha’ aliyowekwa na Monalisa kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram imewafurahisha mashabiki wao wengi na kutupia komenti za kicheko na kuwasuifia kwa jinsi walivyotokelezea .

Monalisa alibandika picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa hiyo ilikuwa ni mwaka 1997.

“Haya nyie si wajuaji wa kucheka?chekeni sasa hadi mchoke,itaneni weeeee...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Monalisa Amewakumbusha Wengi kwa Picha Hii

2003…..Ubatizo wa mtoto wangu wa kwanza Sonia kanisani hapo KKKT USharika wa Yombo Dovya pembeni nipo na baba mtoto aliyekuwa mume wangu ambae sasa ni marehemu George Tyson.
Hii nimependeza jamani msicheke basi.


Monalisa on instagram
 

 

10 years ago

Vijimambo

BIG BOSS LADY ZARI AWEKA PICHA AKIWA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE

Mdogo wake Zari nae ni Ng'ari Ng'ari hile full package kiroho safi.Mama wa Zari na Mdogo wake mama anaonekana kama kidogo afya siyo yenyewe labda utu uzima.Zari na kitu cha black mwilini hapa kabla ya vimarekani vya mimba kuchumoza.She is my Queen, my old sun aka Mama Zarinah Hassan Nasur!!!!

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Monalisa Akiwa ‘On Set’ Tangazo Jipya la Comfy

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera ambazo staa mrembo wa Bongo Movies Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ame –share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni akiwa kwenye utengenezaji wa tangazo la magodoro ya comfy hiyo juzi.

MONALISA213
MONALISA234

MONALISA2341

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO


The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Director Hanscana aanza kuringishia matunda ya kazi yake, apost picha akiwa ametandaza milioni kadhaa

Director Hanscana aliyefanya video mpya ya Vanessa Mdee na Barnaba ‘Siri’ , ameanza kuonesha cheche zinazoashiria kuwa kukaa kwake nyuma ya kamera sasa kumeanza kuzaa matunda. Hanscana (kulia) akiwa na Enos Olik wa Kenya (kushoto) Baada ya kushoot video ya wimbo mpya wa Diamond Platnumz na Khadija Kopa wiki hii, Hanscana amepost picha kadhaa akiringishia […]

 

10 years ago

GPL

JACOB STEPHEN AANZA MAZOEZI AKUTANA NA AKINA WARIDI, MONALISA NA NATASHA!

ILIPOISHIA
NI mfululizo wa simulizi ya maisha ya staa nguli katika fani ya uigizaji, Jacob Stephen Mbura ‘JB’. Hakika ni simulizi tamu iliyojaa mafunzo, hamasa na burudani kwa baadhi ya maeneo. Wiki iliyopita, tuliishia pale msanii huyo alikubali kujiunga na fani ya uigizaji baada ya kupata ushawishi mkubwa kutoka kwa msanii Single Mtambalike ‘Richie’ pamoja na shinikizo la mama yake mzazi. Hata hivyo,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’

Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.

“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Riyama Akiwa Mzigoni ‘Akishuti’ Kazi Yake Mpya

Hizi ni baadhi ya picha za mkali wa bongo movies, Riyama Ally alizo-share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni  zikimuonyesha akiwa anashoot filamu yake mpya.

“Naipenda sana kazi yangu Mungu ibariki...”Riyama aliandika kwenye picha hiyo hapo juu.

Hongera kwa kazi

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Wolper Afunga Mwaka Kwa Kuachia Hizi Zilizowachanganya Wengi!!

Ikiwa zimebaki saa chache tu tuuage mwaka 2014 na tuupokee mwaka 2015, mrembo na  mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa  namna yake, ameacha gumzo mtandaoni baada ya kutupia picha hizi na kuwatakia kheri  ya mwaka mpya mashabiki wake.

Picha hizi ambao alizitupia moja moja tangu jana zimeleta gumzo kubwa miongoni mwamashabiki wale ‘kindakindaki’ wa mwanadada huyu, kwani wengi hasa vidume wameoneka kuchanganywa kabisa na picha hizi na wengi  wao wamejikuta wakiachia "comment" za kumsifia hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani