Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mamia wamzika Baba yake Belle 9

Mastaa wa muziki pamoja na wadau mbalimbali wamejitokeza kwa wingi hapo jana, katika mazishi ya baba wa staa wa muziki, Belle 9 aliyefariki akiwa hospitalini mkoani humo usiku wa Machi 18 akipatiwa matibabu baada ya kugongwa na pikipiki.

Belle akiwa na wasanii pamoja na wadau mbalimbali mbele ya kaburi la marehemu baba yake baada ya mazishi.

Meneja wake, Jahz Zamba, aliiambia Bongo5 kuwa, Mzee Damian amefariki dunia baada ya kugongwa na boda boda iliyokuwa kwenye mwendo mkali huko mjini...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA BABA MZAZI WA DULLY SYKES MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu Ebby Sykes yaliyofanyika jana ukiwa  kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Wakati wa mazishi jana.…

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele, Baba wa Msanii, Steven "Nyerere" Mengele (kulia) . Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele. Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni. Ibada ya maziko ikiendelea.

BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

5 years ago

Bongo5

Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda boda

Abedinego Damian aka Belle 9 amepata msiba mzito.

Baba yake mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Meneja wake, Jahz Zamba, ameiambia Bongo5 kuwa Mzee Damian amefariki dunia baada ya kugongwa na boda boda iliyokuwa kwenye mwendo mkali huko mjini Morogoro alikokuwa anaishi.

Alivunja mguu mmoja pale pale na kujeruhiwa vibaya kabla ya kupelekwa hospitali. Dereva wa boda boda naye ameumia vibaya ikiwemo kuvunjika taya na kujeruhiwa kichwa. Jahz amesema baada ya Mzee Damian kupelekwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA, AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE

 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.
 Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele. Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni. Ibada ya maziko ikiendelea. Hali ilivyokuwa wakati wa mazishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mamia wamzika Mzee Small

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana jioni walijitokeza kwa wingi kumsindikiza gwiji wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ katika safari yake ya mwisho, ambapo alizikwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mamia wamzika Iraq Hudu

MAMIA ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, wakiwemo wanamichezo, jana walijitokeza katika mazishi ya bondia wa zamani wa masumbwi ya kulipwa, Iraq Hudu (49). Hudu,...

 

11 years ago

Habarileo

Mamia wamzika mwandishi wa Habarileo

ALIYEKUWA mwandishi wa gazeti hili mkoani Manyara, Fortunata Ringo (29) ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki alizikwa jana kijijini kwao Mdawi Kata ya Kimochi wilaya ya Moshi Vijijini.

 

10 years ago

Habarileo

Mamia wamzika Makaidi Dar

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinne vya upinzani (Ukawa), ameongoza mamia na wananchi katika maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi (74).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani