Picha Mpya: Utampenda North West alivyo sasa
Kanye West na Kim Kardashian wana mtoto mrembo sana – North West. Mtoto huyo aliyezaliwa kwenye familia ya mastaa, ameonekana akielekea kwenye shule ya dance Jumatano hii jijini Los Angeles na mapaparazzi walipata fursa ya kupata picha za mtoto huyo mrembo. Hizi ni baadhi ya picha zake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo510 Oct
Kanye West kumtengenezea mwanae North pete ya ndoa, sasa
9 years ago
Bongo520 Nov
Picha: Jean-Claude Van Damme alivyo tembelea clabu ya Manchester City
![dame1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/dame1-300x194.jpg)
Nyota wa Hollywood Jean-Claude Van Damme alitembelea mazoezi ya klabu ya Manchester City. Staa huyo wa Hollywood yupo jijini Manchester kwa ajili ya shughuli ya ‘black-tie dinner’ ambapo atapata nafasi ya kuoneshwa kwa movie zake.siku ya Alhamisi na kupiga picha na wachezaji, wakiwemo Wabelgiji wenzake Vincent Kompany na Kevin De Bruyne na wachezaji kama Yaya Toure, Sergio Aguero na hata kocha Manuel Pellegrini kupiga picha na gwiji huyo wa miaka ya 80.
10 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
10 years ago
GPLVIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI
11 years ago
Bongo522 Jul
Kanye na Kim watumia tshs mil 835 kupata mtoto anayefanana na North West ili kujihami na mapaparazi
11 years ago
Bongo525 Jul
Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani
10 years ago
Vijimambo19 Feb
VALENTINE'S DAY NORTH CAROLINA KATIKA PICHA
(Photos by Lucas Mmanywa)
![](http://i1.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/02/IMG_6180-e1424271236198.jpg?resize=500%2C333)
![](http://i0.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/02/IMG_6178.jpg?resize=509%2C764)
![](http://i1.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/02/IMG_6337-e1424271571242.jpg?resize=500%2C333)
![](http://i1.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/02/IMG_6201-e1424271615393.jpg?resize=500%2C333)
![](http://i1.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/02/IMG_6251.jpg?resize=580%2C387)
![](http://i2.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/02/IMG_6252-e1424281923743.jpg?resize=500%2C333)
9 years ago
Bongo516 Aug
Picha: Flaviana Matata sasa ni Mrs Massawe, jionee picha za harusi yake