Picha: Seki wa Original Komedi afunga ndoa
Jamaa aliye nyuma ya mafanikio ya kundi la Original Komedi, Seki, amefunga ndoa weekend hii. Harusi yake ilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo waigizaji wa OK. Hizi ni baadhi ya picha. Masanja akiwa na Bi. Harusi Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SEKI WA ZE ORIJINO KOMEDI APATA 'JIKO'
10 years ago
MichuziORIGINAL KOMEDI WAZURU PSPF, LENGO NI KUJIONEA UBORA WA HUDUMA ZA MFUKO HUO


10 years ago
Dewji Blog18 Nov
Original Komedi waacha gumzo jijini Mwanza kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack




11 years ago
Bongo Movies09 Sep
Mwigizaji mkongwe nchini Lucy Komba afunga ndoa. Tazama picha za harusi
Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika
"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku...
10 years ago
Bongo528 Oct
Picha: Wema Sepetu afunga ndoa na Luis Munana wa Namibia, ni movie tena?
10 years ago
Dewji Blog13 Nov
Tigo, Original Komedi na Wasanii kibao kutikisa jiji la Mwanza kwenye tamasha la Welcome Pack jumamosi hii
Meneja wa Bidhaa wa Tigo Bw. Edwin Mgoa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza tamasha kubwa la Tigo welcome pack litakalofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini Mwanza Jumamosi ya wiki hii, tamasha hili litaweza kuwapa wananchi fursa ya kupata maelezo ya kina kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.
Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili...
10 years ago
Vijimambo
PICHA: FLAVIANA MATATA AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU SASA KUITWA MRS MASSAWE



KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Bongo504 Nov
Picha: J’odie (mwimbaji wa Kuchi Kuchi) afunga ndoa na meneja wake

Hit maker wa ‘Kuchi Kuchi (oh Baby), J’odie kutoka Nigeria amefunga ndoa na meneja wake David Nnaji ambaye pia ni mwigizaji wa Nollywood.
Ndoa yao ya kimila ilifungwa weekend iliyopita Oct.31, na sherehe kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo wana familia huko Nigeria.
J’odie ambaye jina lake halisi ni Joy Odiete alivishwa pete ya uchumba mwishoni mwa mwezi September na Nnaji, ambaye ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album yake ya kwanza ‘African Woman’ iliyotoka...
10 years ago
Bongo507 Jan
Picha: Ludacris afunga ndoa na mpenzi wake raia wa Gabon siku hiyo hiyo aliyomchumbia