PICHA ZINGINE SHEREHE YA MIAKA 25 YA NDOA YA AMOS NA JESSICA MUSHALA
Bw.Mshala akipongezwa na Mama Kassembe.
Mama Mushala akipongezwa na Meya.
Bw.Mushala akipongezwa na Imma.
Bi.Asha Nyang'anyi.
Mr&Mrs Imanuel Bandawe a.k.a "The Boss"
MaWinny Casey mwanzilishi wa Miss Tanzania USA akiwa na Rais wa Jumuiya ya watanzania DMV Bw.Iddy Sandaly.
Wapendanao Lovenness na ubani wake.
Bw.David na ubavu wake.
Kwa furaha Bw.Tumaini na mkewe Bi. Tumaini.
Bw.Vikta na mkewe Bi.Eda.
Bw.Tino Malinda na mkewe Mary Mgawe.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Jessica na Amos Mushala...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA MIAKA 25 YA NDOA YA AMOS NA JESSICA MUSHALA IJUMAA DESEMBA 26, 2014
10 years ago
Vijimambo08 Dec
PICHA ZINGINE SHEREHE YA UHURU WA TANZANIA BARA DMV







10 years ago
Vijimambo
JESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA



Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...
10 years ago
Bongo505 Oct
Picha: Barack na Michelle Obama washerehekea miaka 23 ya ndoa
10 years ago
VijimamboPICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO
Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
11 years ago
VijimamboPICHA ZINGINE ZA FIESTA
10 years ago
Vijimambo
PICHA ZINGINE MAGUFULI SUMBAWANGA



10 years ago
Vijimambo03 Mar
PICHA ZINGINE MNUSO WA TBN



Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10