Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE YA MIAKA 25 YA NDOA YA AMOS NA JESSICA MUSHALA IJUMAA DESEMBA 26, 2014

Amos na Jessica Mushala wakiwa meza kuu kusherehekea miaka 25 ya ndoa yao siku ya Ijumaa desemba 26, Lanham, Maryland nichini Marekani sherehe iliyokuwa na mambo mengi ya kumbukumbu ya maisha yao miaka 25 iliyopita.Amos na Jessica Mushala wakiwa meza kuu na wapambe wao.Wazee wa kimila wakiongozwa na Mzee Kasembe (kushoto)wakiwasubili Bi. Jessica Mushala na kundi lake kuingia ukumbini. Bi. Jessica Mushala na kundi lake wakiingia kwa mbwembwe zote ukumbini hapo.Wazee wakimila wakiwa ukumbini

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE SHEREHE YA MIAKA 25 YA NDOA YA AMOS NA JESSICA MUSHALA

IMG_9718Bw.Mshala akipongezwa na Mama Kassembe. IMG_9733Mama Mushala akipongezwa na Meya. IMG_9716Bw.Mushala akipongezwa na Imma. IMG_9591Bi.Asha Nyang'anyi. IMG_9700Mr&Mrs Imanuel Bandawe a.k.a "The Boss" IMG_9635MaWinny Casey mwanzilishi wa Miss Tanzania USA akiwa na Rais wa Jumuiya ya watanzania DMV Bw.Iddy Sandaly. IMG_9596Wapendanao Lovenness na ubani wake. IMG_9675Bw.David na ubavu wake. IMG_9686Kwa furaha Bw.Tumaini na mkewe Bi. Tumaini. IMG_9689Bw.Vikta na mkewe Bi.Eda. IMG_9690Bw.Tino Malinda na mkewe Mary Mgawe.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
IMG_9625Jessica na Amos Mushala...

 

10 years ago

Vijimambo

JESSICA MUSHALA, LOVENESS MAMUYA NA CHRIS LUKOSI WAKANUSHA HABARI KUHUSIANA KUTANGAZA VITA BAADA YA KUKOSA UKUU WA WILAYA

Bi. Jessica Mushala          Bi. Loveness Mamuya              Bwn. Chris Lukosi
Habari iliyoandikwa leo kwenye mtandao wa Jamii Forums na mdau ambaye hakujitambulisha jina na baadae kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo SMS na Whatsup iliyobeba kichwa cha habari "Makada wa CCM Diaspora watangaza vita baada ya kukosa ukuu wa Wilaya"
Vijimambo ilibidi uwavutie waya kwa nyakati tofauti wahusika wakuu waliotajwa kwenye habari hoyo kutaka kujua kulikoni na kama habari yenyewe ina ukweli ndani...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zitazofanyika Dubai april 14, 2014

Mhe. Omar Mjenga (shati la Mandela katikati), Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa jumuiya ya watanzania waishio UAE.  Kikao hicho kilichohudhuriwa kwa wingi na vijana wa Jumuiya kilijadili hatua za mwisho za maandalizi ya sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano zitakazofanyika Le Meridien Hotel, Dubai.  Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, Rais wa Shirika la Ndege la Emirates na...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano waTanzania kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 25 hadi 26 Aprili, 2014 nchini Ujerumani

KARIBUNI WOTE
Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”.
Katika kuadhimisha sherehe hii kubwa na muhimu, Ubalozi umeamua kuandaa Kongamano la Biashara (Investment Forum) kwa siku ya tarehe 25 Aprili, 2014 pamoja na siku ya terehe 26 Aprili, 2014 kuwa siku ya mdahalo (Scholars' day) mjini Berlin, Ujerumani. 
Madhumuni makubwa ya Kongamano hili ni kuwatangazia na kuwaonyesha...

 

10 years ago

Vijimambo

MISS WORLD 2014 LIVE FROM LONDON JUMAPILI DESEMBA 14, 2014


Watanzania tukiamua yetu tunamua kweli kweli dah hii ni komesha let's keep voting tuwe no 1 jamani we can do it. Let's go my good people. 
By @happinesswatimanywa 
Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika�� #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu
TIME, DATE AND TV CHANNEL FOR MISS WORLD 2014 LIVE FROM LONDON THE MISS WORLD 2014 PAGEANT ITAONESHWA LIVE KWENYE TV...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani