Pigo CCMÂ
HARAKATI za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka kuhodhi majadiliano na uamuzi katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba zimegonga mwamba. Kugonga mwamba huko kunatokana na kubanwa na Sheria ya Mabadiliko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
UKAWA: Puuzeni kauli za CCMÂ
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umewataka Watanzania kupuuza kauli za viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa hazina lengo la kuwasaidia katika mchakato wa uundwaji wa katiba mpya. Mmoja...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Lembeli awachanganya viongozi wa CCMÂ
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wilayani Kahama wanapata wakati mgumu kuchukua maamuzi kwa Mbunge wa Jimbo hilo, James Lembeli, kutokana na kukinzana na chama chake juu ya muundo wa...
9 years ago
StarTV11 Oct
Vijana wa CCMÂ watahadharishwa dhidi ya Vurugu
Vijana na wapenzi wa chama cha Mapinduzi wametakiwa kujihadhari na kujiepusha na vikundi vinavyoashiria kufanya fujo wakati wa uchaguzi hali ambayo inaweza kusababisha vurugu zitakazoharibu amani ya nchi.
Wanafahamishwa kwamba Uchaguzi ni hatua moja ya kujenga nchi kuelekea katika maendeleo hivyo si vyema wananchi wakaingia katika majaribu yatakayogharimu mustakbali wa maisha na nchi yao.
Akiwa katika kampeni za chama cha mapinduzi akiwanadi wagombea uwakilishi na madiwani katika jimbo la...
9 years ago
TheCitizen15 Nov
Zungu only CCM’s candidate for deputy speaker’s position
5 years ago
The Citizen Daily11 Mar
CCM’s Humphrey Polepole in court to pay Dr Mashinji’s fine
5 years ago
The Citizen Daily07 Mar
Parties use state apparatus ‘to cling to power’, says CCM’s Bashiru
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Jaji Warioba, CCM si baba wala mama yako amua sasa
NAFAHAMU kabisa kuwa tukio la Jaji Joseph Warioba kuvishwa nishani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutimiza miaka 50 halikuwa tendo la kubezwa kabisa. Ni wazi kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7F975s5rOKg9nr8*g4Wcs3axL4kTemrp5*jZ6LsAFda8qMkaeHaLtpIBIzhvMDU7Iuijva*jjDI4jL7yK1oVd3EhmDilYBLK/1.jpg?width=650)
Pigo moja
10 years ago
Mtanzania07 May
Ni pigo la nchi
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Kimataifa
ASKARI wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanaolinda amani katika Kikosi cha Umoja wa Mataifa (MONUSC) nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameuawa na waasi.
Askari hao ambao majina yao hayajatambuliwa, waliuawa juzi alasiri katika shambulio la kushtukiza mashariki mwa nchi hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kupitia msemaji wa MONUSCO, Kanali Felix Basse, ilisema mbali ya waliouawa,...