Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda abanwa kuhusu BVR, vitambulisho vya Taifa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo amebanwa bungeni kuhusu mkanganyiko uliopo katika mpango wa uandikishwaji wa daftari la wapigakura kutumia mashine za BVR na mgogoro uliopo kati ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec)  kuhusu vitambulisho vya kupigia kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa

>Kazi ya uchukuaji alama za vidole na picha kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa, imeanza mjini Tanga na dosari kadhaa zimeripotiwa, ikiwamo wananchi kusota muda mrefu kwenye vituo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe

Mchakato wa kupatikana kwa vitambulisho vya Taifa unaoendelea jijini Dar es Salaam umeanza kuibua maswali kama kweli wananchi wote nchi nzima watakuwa wamepata vitambulisho hivyo kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na hata kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili

Tuliwahi kusema katika safu hii kwamba mpango wa Serikali wa kuandikisha wananchi ili kuwapatia vitambulisho vya Taifa hautafanikiwa kama matatizo yaliyokuwa yakigubika mpango huo hayangepatiwa ufumbuzi wa kudumu.

 

10 years ago

GPL

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...

 

10 years ago

Habarileo

Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa

WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.

 

11 years ago

Michuzi

Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kesho inatarajia kuanza kuwasajili wakazi wa Pemba baada ya kukamilisha zoezi hilo Unguja. Wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi hili wakiwa na nakala za viambatisho muhimu vinavyithibitisha uraia, umri na makazi. Zoezi linahusisha ujazaji fomu na uchukuaji alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki. Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Ofisi ya Vuai Musa Suleima (wapili kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Nida yafafanua uchukuaji vitambulisho vya taifa

>Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema kila mwananchi aliyejiandikisha, atapata kitambulisho chake.

 

11 years ago

Michuzi

VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWAFIKIA LINDI NA MTWARA

Na Woinde Shizza,Arusha.   Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) , Dickson Maimu amesema kuwa zoezi la usajili wa watu na kuwapatia vitambulisho  hivyo litaanza katika mikoa ya Lindi,Mtwara na Pwani  hivi karibuni hivyo amewataka wananchi kutoa ushirikiano ili kufanikisha zoezi hilo.
Aidha Mkurugenzi huyo amesema kuwa baada ya kukamilisha zoezi hilo katika mikoa ya Dar es Salaam na mikoa yote mitano ya Zanzibar sasa wanaelekea katika mikoa hiyo .
Akizungumza katika...

 

10 years ago

Michuzi

Usajili Vitambulisho vya Taifa wabishahodi Ruvuma

 Na Thomas William  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imekutana na uongozi wa mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuweka mpango kazi madhubuti wa usajili wa watu katika mkoa huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27, 2014.  Akifungua kikao hicho cha kazi Oktoba 11, 2014, Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amesema viongozi wa wote wa mkoa huo wanatakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo lenye manufaa makubwa kiuchumi, kijamii na ulinzi na usalama wa Taifa letu.  Amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani