PINDA AFUNGUA MKUTANO WA PACF- BAGAMOYO, AADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-MUZCjLpdsL0/U-teKPFz_XI/AAAAAAAF_MQ/4zT_EVG73-U/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama dawa mbali mbali zilizotengenezwa kwa kutumia Karafuu kabla ya kufungua mkutano wa Pan African Competitiveness Forum (PACF) kwenye hoteli ya Stella Maris mjini Bagamoyo leo Agosti 13, 2014. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Tekinolojia Profesa Makame Mbarawa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kushoto) na Waziri wa Sayansi na Tekinoloji, Profesa Makame Mbarawa baada ya kufungua Mkutano wa Mwaka wa Pan...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog13 Aug
Pinda afungua mkutano wa PACF — Bagamoyo
![PG4A0218](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/PG4A0218.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Oct
Sophia Nyagasha aadhimisha siku yake ya kuzaliwa Jijini Dar
Mwishoni mwa wiki iliyopita ilikuwa ni sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa Oktoba 4, 2014 kwa mwanadada Sophia Nyagasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo hafla hiyo fupi iliweza kufana ndani ya Kiota cha Maraha cha High Spirit Lounge iliyopo jijini Dar.
Shangwe za marafiki katika hafla hiyo.
Wapendanao nao walikuwepo.
Ilikuwa ni furaha maana wafanyakazi wa Airtel Tanzania walipokutana pamoja kumpongeza mwenzao.
![IMG_0396](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0396.jpg)
Shampeni ikigawiwa.
10 years ago
GPLMDAU SOPHIA NYANGASHA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
PINDA afungua mkutano wa REPOA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifunga Mkutano wa Taasisi ya Research on Poverty Alleviation in Tanzania (REPOA) kwenye hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es salaam Machi 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Pinda afungua mkutano wa afya Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) wakimsikiliza Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. (Picha na...
11 years ago
Dewji Blog03 Jun
Pinda afungua mkutano wa mabasi yaendayo kasi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkurano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (Dar Rapid Transit) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, Juni 3, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bw. Philippe Dongier baada ya kufungua Mkutano waMajadiliano wa kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu,...
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Pinda afungua mkutano wa magavana wa benki ya PTA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Biashara, Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) kwenye kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaaam August 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Pinda afungua mkutano wa tano wa wadau wa NSSF
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Tibenda, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ptmT8qBEbfU/U2ARX5K7oAI/AAAAAAAFeEI/_8ATkEYgLyY/s72-c/unnamed+(62).jpg)
MKUU WA MKOA WA PWANI BI. MWANTUMU MAHIZA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI MJINI BAGAMOYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-ptmT8qBEbfU/U2ARX5K7oAI/AAAAAAAFeEI/_8ATkEYgLyY/s1600/unnamed+(62).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EYrqoN3QZnQ/U2ARWxmrwaI/AAAAAAAFeEA/SUiW405HDrE/s1600/unnamed+(63).jpg)