Pinda akabidhiwa taarifa ya mapigano
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amekabidhiwa taarifa ya chanzo cha mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani hapa, Mkoa wa Manyara inayowataja watu 58 wanaomiliki zaidi ya hekta 70,000 katika Hifadhi ya Jamii Emburey Murtangos.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jan
Pinda atoa suluhisho la mapigano Kiteto
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wakazi wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, wanaolima kwenye Hifadhi ya Jamii ya Emboley Murtangos, waridhie amri iliyotolewa na Mahakama ya Rufaa ya kuwataka waondoke kwenye eneo hilo wakati Serikali ikitafuta ufumbuzi wa suala la wapi watakwenda.
9 years ago
StarTV02 Dec
 Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhiwa Ofisi,  Pinda amtaka kuimarisha ufuatiliaji maagizo
Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa.
Mheshimiwa Pinda amemtaka Waziri Mkuu Majaliwa kuimarisha ufuatiliaji wa maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.
Akizungumza wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Pinda amesema katika kipindi cha uongozi wake kulikuwa na ucheleweshaji wa kupata majibu kutoka ngazi ya chini katika maelekezo aliyokuwa akitoa.
Amemtaka...
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Pinda apokea taarifa ya mkoa wa Katavi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI

10 years ago
Dewji Blog12 Oct
Pinda apokea taarifa ya ujenzi wa wodi ya watoto — Sumbawanga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri...
10 years ago
BBCSwahili04 Nov
Mapigano yazuka Msumbiji
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Mapigano Loliondo yaua 11
MAPIGANO ya kuwindana yanayotokana na mgogoro wa ardhi unaohusisha makabila ya Sonjo na Maasai katika tarafa za Sale na Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha hadi sasa yameshaua wananchi 11. Akizungumza katika...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Filamu za mapigano kushindanishwa
FILAMU za Kitanzania zinazoonyesha mchezo wa mapambano zimeingizwa kwenye shindano la Action & Cut Viewers Choice Award 2013 ambalo fainali zake zitakuwa Machi 10, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mapigano Ukingo wa magharibi