Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapigano Ukingo wa magharibi

Hali ya wasiwasi iliyoikumba Israel na Ukingo wa magharibi imeongezeka baada ya mashambulio kadhaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mapigano Loliondo yaua 11

MAPIGANO ya kuwindana yanayotokana na mgogoro wa ardhi unaohusisha makabila ya Sonjo na Maasai katika tarafa za Sale na Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha hadi sasa yameshaua wananchi 11. Akizungumza katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Filamu za mapigano kushindanishwa

FILAMU za Kitanzania zinazoonyesha mchezo wa mapambano zimeingizwa kwenye shindano la Action & Cut Viewers Choice Award 2013 ambalo fainali zake zitakuwa Machi 10, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mapigano yazuka Msumbiji

Mapigano mapya kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa chama cha upinzani cha Renamo yameripotiwa nchini Msumbiji.

 

10 years ago

Habarileo

Mapigano yafukuta Rufiji

IGP Ernest ManguMGOGORO mkubwa kati ya wakulima na wafugaji huenda unafukuta, sambamba na uharibifu wa mazingira katika wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani baada ya maelfu ya ng’ombe kuzagaa zaidi ya eneo la ardhi lililokuwa limetengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo hao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ahusishwa mapigano Igunga

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kishapu, Wilson Mkambaku, amehusishwa kuwa nyuma ya mapigano yaliyozuka  kati ya  wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Isakamaliwa, wilayani Igunga, Tabora na kusababisha watu watano...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mapigano yazuka upya C.A.R

Mapigano yamezuka katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Bangui kati ya wanaounga mkono na wanaopinga kura ya maoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda akabidhiwa taarifa ya mapigano

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amekabidhiwa taarifa ya chanzo cha mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani hapa, Mkoa wa Manyara inayowataja watu 58 wanaomiliki zaidi ya hekta 70,000 katika Hifadhi ya Jamii Emburey Murtangos.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waasi Yemen kuacha mapigano?

Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema waasi wa Yemen wamekubali kuacha mapigano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel na Hamas kusimamisha mapigano?

Israel na Hamas zimekubaliana na maombi ya Misri ya kusimamisha mapigano kwa siku tatu huko Gaza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani