Pinda apita njia ya Lowassa
KATIBU Mwenezi wa Chama cha NCCR Mageuzi, na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema Bunge lijalo hapatatosha kati ya yeye na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kama ripoti ya ufisadi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Njia alizopita Lowassa kufika Chadema
EDWARD Lowassa, aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na mmoja wa vigogo wa Chama Cha Mapinduzi
Ahmed Rajab
10 years ago
GPL
LOWASSA AWAWEKA UKAWA NJIA PANDA!
10 years ago
Vijimambo
UVCCM NYAMAGANA WAMUWEKA LOWASSA NJIA PANDA.


YAH.TAMKO LA KUPONGEZA KAULI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA NDUGU STANSLAUS MAGESA MULONGO.
Ndugu wanahabari na watanzania wote. Kwanza nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuitikia wito na kukubari kuja kuungana nasi kwa lengo la kuwajuza watanzania kwa kile kinachoendelea katika mkoa wetu Wa mwanza kwa faida na manufaa ya watanzania wote.
Siku ya 6/7/2015, mkuu wetu wa mkoa Wa mwanza alitoa maelekezo kwa makamanda wa polisi kuzuia watu...
10 years ago
GPLTUHUMA DHIDI YA LOWASSA KUMSAFISHIA NJIA KUELEKEA IKULU
11 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Pinda amtambia Lowassa
JINA la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, limeanza kutumiwa na baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukusanya na kugawa fedha kwa kile kinachoitwa “mbio wa kusaka urais.” Taarifa zilizolifikia...
10 years ago
Mtanzania13 Jun
Pinda amtaja Lowassa
Na Debora Sanja, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana amechukua fomu ya kuwania urais, huku akieleza rekodi alizoziweka tangu alipochukua nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake, Edward Lowassa.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Pinda, pamoja na mambo mengine, alieleza mambo aliyoyafanya kuwa ni pamoja na kuendeleza yale aliyoyaasisi mtangulizi wake huyo.
Pinda alimsifia Lowassa kwa kusimamia mchakato wa ujenzi wa shule...
11 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Pinda amtibua Lowassa
UJIO wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kinyang’anyiro cha urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umetibua mipango ya kada wenzake, Edward Lowassa na kubadili kabisa upepo wa kiasiasa, Tanzania...
11 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Lowassa amchezea rafu Pinda
KINYANG’ANYIRO cha urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepamba moto baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia na hivyo kudaiwa kutibua mipango ya mtangulizi wake, Edward...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Lowassa atetemesha nyumbani kwa Pinda
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepata wadhamini zaidi ya 7000 katika mikoa ya Katavi na Rukwa, ambako ni nyumbani kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye naye anawania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Akiwa mkoani Katavi ambao ni mkoa mpya alikozaliwa Waziri Mkuu Pinda, alipata wadhamini 3,450 huku Rukwa akipata wadhamini zaidi ya 4000.
Mkoa wa Katavi kabla ya kuwagawanywa ulikuwa unaunda mkoa wa Rukwa.
Lowassa aliwasili jana mchana mkoani Katavi akitokea Mkoa wa Kigoma na...