Pinda amtaja Lowassa
Na Debora Sanja, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana amechukua fomu ya kuwania urais, huku akieleza rekodi alizoziweka tangu alipochukua nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake, Edward Lowassa.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Pinda, pamoja na mambo mengine, alieleza mambo aliyoyafanya kuwa ni pamoja na kuendeleza yale aliyoyaasisi mtangulizi wake huyo.
Pinda alimsifia Lowassa kwa kusimamia mchakato wa ujenzi wa shule...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Pinda amtambia Lowassa
JINA la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, limeanza kutumiwa na baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukusanya na kugawa fedha kwa kile kinachoitwa “mbio wa kusaka urais.” Taarifa zilizolifikia...
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Pinda amtibua Lowassa
UJIO wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kinyang’anyiro cha urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umetibua mipango ya kada wenzake, Edward Lowassa na kubadili kabisa upepo wa kiasiasa, Tanzania...
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Pinda apita njia ya Lowassa
KATIBU Mwenezi wa Chama cha NCCR Mageuzi, na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema Bunge lijalo hapatatosha kati ya yeye na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kama ripoti ya ufisadi...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Lowassa amchezea rafu Pinda
KINYANG’ANYIRO cha urais wa 2015 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepamba moto baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia na hivyo kudaiwa kutibua mipango ya mtangulizi wake, Edward...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Lowassa atetemesha nyumbani kwa Pinda
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepata wadhamini zaidi ya 7000 katika mikoa ya Katavi na Rukwa, ambako ni nyumbani kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye naye anawania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Akiwa mkoani Katavi ambao ni mkoa mpya alikozaliwa Waziri Mkuu Pinda, alipata wadhamini 3,450 huku Rukwa akipata wadhamini zaidi ya 4000.
Mkoa wa Katavi kabla ya kuwagawanywa ulikuwa unaunda mkoa wa Rukwa.
Lowassa aliwasili jana mchana mkoani Katavi akitokea Mkoa wa Kigoma na...
10 years ago
Mwananchi03 May
Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar
10 years ago
Dewji Blog19 May
Pinda ateta na Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
Vijimambo15 Sep
JK AMTAJA MUHUSIKA WA RICHMOND
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/1617880/highRes/423889/-/maxw/600/-/4awr4f/-/kikwete.jpg)
Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.
Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiwaaga wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika na kumtaka Lissu amtaje mwenye Richmond.“Endapo Tundu Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond, nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe,” alisema Kikwete.Kabla ya mkutano huo, Rais Kikwete alifungua jengo la Mfuko wa Taifa wa...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
JK amtaja mhusika Richmond