Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AMTAJA MUHUSIKA WA RICHMOND


Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.
Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiwaaga wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika na kumtaka Lissu amtaje mwenye Richmond.“Endapo Tundu Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond, nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe,” alisema Kikwete.Kabla ya mkutano huo, Rais Kikwete alifungua jengo la Mfuko wa Taifa wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

JK amtaja mhusika Richmond

Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

David Kafulila live ndani ya HotMix — EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond

Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulile Mh. Kafulila ameeleza kuwa kabla ya kumkaribisha Lowassa walikaa vikao vya kina vya kumuhoji Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa, na aliweka wazi na kuthibitisha kuwa muhusika wa Richmond ni Kikwete.Amemtaja […]

The post David Kafulila live ndani ya HotMix – EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

BBCSwahili

Muhusika wa tatu wa mashambulizi ya Paris atambuliwa

Ufaransa imesema kuwa muhusika wa tatu wa mashambulizi ya Bataclan ametambuliwa kuwa ni raia wa Ufaransa aliepata mafunzo ya itikadi kali nchini Syria

 

11 years ago

Michuzi

SAKATA LA NYOKA AINA YA CHATU ARUSHA MUHUSIKA ABAINISHA UKWELI WA MAMBO

 Pichani ni Bw.Joseph Magessa aliyetuhumiwa hivi karibuni na tukio la Nyoka aina ya Chatu.  SAKATA la kukutwa na chatu  eneo la sakina katika nyumba ya Joseph Magessa limechukua sura mpya baada ya  mhusika kuhojiwa na mtandao wa jamiiblog huu kuhusiana na tukio hilo.   Aidha chatu huyo ambaye alikutwa  nyumbani kwa mmiliki huyo hivi karibuni imeelezwa tuhuma hizo sio za kweli bali ni njama za kumuharibia tu na tukio hilo ni la kutengenezwa na watu kwa lengo la kumchafulia jina...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi kwenye soka: 'Huwezi kujua kile anachohisi muhusika wakati huo'

Wachezaji na makocha wazungumzia vile ubaguzi wa rangi unavyowaathiri katika filamu iliyoandaliwa na kituo cha BBC Three ya 'Shame in The Game'.

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji nyota, muhusika katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa ameaga dunia

Nikita Pearl Waligwa aliyeshiriki filamu iliyotolewa 2016, kuhusu mchezaji chess mwerevu wa Uganda alipatikana na uvimbe kwenye ubongo.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda amtaja Lowassa

PINDANa Debora Sanja, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana amechukua fomu ya kuwania urais, huku akieleza rekodi alizoziweka tangu alipochukua nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake, Edward Lowassa.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Pinda, pamoja na mambo mengine, alieleza mambo aliyoyafanya kuwa ni pamoja na kuendeleza yale aliyoyaasisi mtangulizi wake huyo.
Pinda alimsifia Lowassa kwa kusimamia mchakato wa ujenzi wa shule...

 

10 years ago

CloudsFM

JB amtaja ‘’muuaji’ wa filamu za Kibongo

Mwigizaji Mkongwe wa filamu za Kibongo, Jacob Steven’JB’ amefunguka sababu ya mashabiki wa filamu hizo kushuka tofauti na zamani ni kwamba waandaji wa filamu wamekuwa wakitoa ovyo filamu hizo bila utaratibu maalum. Aidha amefunguka kuwa zamani filamu zilikuwa zikitoka chache hivyo mashabiki walikuwa na hamu ya kusubiria filamu itakayokuja.
‘’Unajua zamani filamu zilikuwa chache sana ndiyo maana kila shabiki alikuwa anaitafuta sana filamu ndiyo maana zilikuwa na thamani lakini sasa hivi...

 

10 years ago

GPL

Maximo amtaja Boban Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JINA la kiungo mchezeshaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ limetajwa kwenye usajili wa dirisha dogo na Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Usajili huo wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu na kufungwa Desemba 15.
Maximo, hivi karibuni alitangaza kuongeza viungo wawili pekee katika usajili huo katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani