SAKATA LA NYOKA AINA YA CHATU ARUSHA MUHUSIKA ABAINISHA UKWELI WA MAMBO
![](http://3.bp.blogspot.com/-3X5AVOcXYC0/U6QEzRnh1bI/AAAAAAAFr7A/Qe61SjLophI/s72-c/magessa.jpg)
Pichani ni Bw.Joseph Magessa aliyetuhumiwa hivi karibuni na tukio la Nyoka aina ya Chatu.
SAKATA la kukutwa na chatu eneo la sakina katika nyumba ya Joseph Magessa limechukua sura mpya baada ya mhusika kuhojiwa na mtandao wa jamiiblog huu kuhusiana na tukio hilo.
Aidha chatu huyo ambaye alikutwa nyumbani kwa mmiliki huyo hivi karibuni imeelezwa tuhuma hizo sio za kweli bali ni njama za kumuharibia tu na tukio hilo ni la kutengenezwa na watu kwa lengo la kumchafulia jina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
SAKATA LA CHATU
‘Mzee wa Kanisa’ aibua siri mpya
Amkana chatu, adai ni njama za majirani Mke adai mumuwe ni msafi si mshirikina
SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MFANYABIASHARA Joseph Magesa anayedaiwa kufuga nyoka aina ya Chatu nyumbani kwake, ameibua mapya kwa kudai kuwa hahusiki naye.
Pia, amedai kuwa hizo zinaweza kuwa njama za majirani zake, zilizolenga kumchafua na kwamba, suala hilo amemwachia Mungu kwani ndiye ajuaye ukweli.
Magesa, ambaye alikuwa akijitambulisha kuwa ni Mzee wa Kanisa Katoliki...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kul7ph0BHB4/VWyAeOkw8AI/AAAAAAAAeSA/y5GwpOc6I-A/s72-c/1.jpg)
Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo
![](http://4.bp.blogspot.com/-kul7ph0BHB4/VWyAeOkw8AI/AAAAAAAAeSA/y5GwpOc6I-A/s1600/1.jpg)
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Amezwa na Nyoka aina ya Anaconda
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Utata waibuka ukweli sakata la mgombea wa ACT kutekwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1coOjqIHyfOMfo*cI2OKjOg0QbVIf9fuRR0p2578pm6tg0bbBTbgRQev-6br1Eg3SbzDSNOe*KMVj62rHa-ciSJY/CHA2.jpg?width=550)
CHATU MKUBWA AUAWA ARUSHA JIONI HII, AFUNGWA KITAMBAA CHENYE MANENO YA KIARABU!
11 years ago
CloudsFM06 Jun
CHATU AZUA KIZAAZAA ARUSHA AINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU AKUTWA AMEFUNGWA KITAMBAA CHEUPE
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani Arusha siku ya jana walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.
Hiki ndicho kitambaa alichokutwa nacho chatu huyo.
Source:Arusha Yetu
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/WrRDzyORG5s/default.jpg)
MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TUUUUU LeBron James Jr.
Jitiririshe na video hii na utakubari usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka jinsi mtoto wa LeBron James jersey number 0 {LeBron James Jr} alivyo na kipaji kama baba yake. The apple never falls far from the tree.
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Senegal vs Ghana:Ukweli wa mambo
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
I Coast vs Guinea:Ukweli wa mambo