Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAKATA LA CHATU


‘Mzee wa Kanisa’  aibua siri mpya

Amkana chatu, adai ni njama za majirani Mke adai mumuwe ni msafi si mshirikina
SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MFANYABIASHARA Joseph Magesa anayedaiwa kufuga nyoka aina ya Chatu nyumbani kwake, ameibua mapya kwa kudai kuwa hahusiki naye.
Pia, amedai kuwa hizo zinaweza kuwa njama za majirani zake, zilizolenga kumchafua na kwamba, suala hilo amemwachia Mungu kwani ndiye ajuaye ukweli.
Magesa, ambaye alikuwa akijitambulisha kuwa ni Mzee wa Kanisa Katoliki...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SAKATA LA NYOKA AINA YA CHATU ARUSHA MUHUSIKA ABAINISHA UKWELI WA MAMBO

 Pichani ni Bw.Joseph Magessa aliyetuhumiwa hivi karibuni na tukio la Nyoka aina ya Chatu.  SAKATA la kukutwa na chatu  eneo la sakina katika nyumba ya Joseph Magessa limechukua sura mpya baada ya  mhusika kuhojiwa na mtandao wa jamiiblog huu kuhusiana na tukio hilo.   Aidha chatu huyo ambaye alikutwa  nyumbani kwa mmiliki huyo hivi karibuni imeelezwa tuhuma hizo sio za kweli bali ni njama za kumuharibia tu na tukio hilo ni la kutengenezwa na watu kwa lengo la kumchafulia jina...

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE DAR AJIFUNGUA CHATU!

WAANDISHI WETU/Amani MAAJABU! Ama kweli dunia ina mambo na ya Mungu mengi! Mwanamke mmoja, mkazi wa Mbezi- Maua jijini Dar aliyefahamika kwa jina moja la Neema, amelea ujauzito wake kwa miezi tisa yenye matumaini lakini siku ya kujifungua akaambulia kiumbe cha ajabu kilichofanana na nyoka aina ya chatu, Amani limeifuatilia habari hii kwa kina. Neema anayedaiwa kujifungua Chatu. Kwa mujibu wa chanzo chetu, awali Neema alikuwa...

 

11 years ago

GPL

CHATU AMEZA MTOTO WA SWALA INDIA

Jamii ya chatu amenaswa na Kamera akimeza mtoto wa Swala katika kijiji cha Billa nchini India. ...akiendelea kummeza mtoto wa Swala.…

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CHATU KUKUTWA KWA MZEE WA KANISA....


SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL, ARUSHA
SAKATA la kukutwa kwa myoka aina ya chatu ndani ya nyumba ya mzee wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha Parokia ya Mtakatifu Monica, Joseph Magesa, limechukua sura mpya baada ya Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini kuanza uchunguzi ili kubaini iwapo kama alikuwa akimilikiwa kihalali.
Akizungumza na UUHURU WIKENDI ofisini kwake jana, Kamanda wa kikosi hicho, Paschal Mrina, alisema uchunguzi huo umeanza mara moja, muda mfupi baada ya kupokea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Chatu amshinda Mamba Nguvu Australia

Chatu ameshinda vita vikali dhidi ya Mamba Kaskazini mwa mji wa QueensLand. Kawaida nani mwenye nguvu kumshinda mwenzake?

 

11 years ago

Michuzi

namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa jijini Mbeya

 Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji. Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo....  Tazama Video Hii Mtaalamu wa Kukamata Nyoka

 

10 years ago

GPL

HOFU: CHATU AMMEZA MBUZI MZIMAMZIMA, WANAKIJIJI WAPIGWA BUTWAA

Chatu akimmeza mbuzi katika Kijiji cha Garkhuta, India. TUKIO la chatu mwenye urefu wa futi 10 akimmeza mbuzi mzimamzima limewatia hofu wakazi wa Kijiji cha Garkhuta kilichopo Magharibi mwa Bengal nchini India. Tukio hilo lilinaswa na Mpigapicha, Roni Choudhury hivi karibuni wakati akitembea jirani na Hifadhi ya Msitu wa Sonakhali nchini India. Kitendo hicho kiliwafanya wanakijiji waingiwe… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani