Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK amtaja mhusika Richmond

Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JK AMTAJA MUHUSIKA WA RICHMOND


Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.
Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiwaaga wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika na kumtaka Lissu amtaje mwenye Richmond.“Endapo Tundu Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond, nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe,” alisema Kikwete.Kabla ya mkutano huo, Rais Kikwete alifungua jengo la Mfuko wa Taifa wa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

David Kafulila live ndani ya HotMix — EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond

Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulile Mh. Kafulila ameeleza kuwa kabla ya kumkaribisha Lowassa walikaa vikao vya kina vya kumuhoji Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa, na aliweka wazi na kuthibitisha kuwa muhusika wa Richmond ni Kikwete.Amemtaja […]

The post David Kafulila live ndani ya HotMix – EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Nani mhusika mkuu?

UTATA mkubwa umeibuka kuhusu mmiliki wa shehena ya madini ghafi ya Tanzanite yaliyokuwa yanator

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo hutokea mhusika akiwa usingizi,hivyo hushindwa kujizuia

Kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, kukojoa kitandani au kujikojolea ni jambo la kawaida. Lakini vijana na watu wazima kujikojolea kitandani mara kwa mara siyo jambo la kawaida katika jamii. Watu wenye tatizo hili hujulikana kama vikojozi.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB: Chungu cha Tatu Itajibu Maswali Mengi, Wema Ndiyo Mhusika Mkuu

Staa wa Bongo Movies  ambaye ndiyo mmiliki na mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa  filamu,  Jerusalem Film Company, Jacob Stephen  ‘JB’ amewadokeza wadau wa filamu kupitia ukurasa wake mtandaoni kuwa filamu ya ‘Tatu Chafu’ amabayo wanairekodi kwasasa itajibu maswali mengi ukizingatia kuwa mhusika mkuu kwenye filamu hiyo ni staa Wema Sepetu ambaya kila mmoja anakujua drama za staa huyu.

Wadau wa jerusalem film...bado tunaendelea na utengenezaji wa filam ya chungu cha tatu...lakini kwa...

 

11 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LIMETANGAZA ZAWADI YA TSH.MILION 10 KWA WEWE MWENYE TAARIFA ZA MHUSIKA WA BOMU ARUSHA

Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza zawadi ya Tsh.Milion 10 kwa mtu atakayewezesha kupatikana kwa wahusika walioshiriki mlipuko wa bomu lililolipuka Arusha,Bomu hilo lililipuka mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye bar ya Arusha Night Park ambalo lilisababisha majeruhi kadhaa. Mkurugenzi wa makosa ya jinai Tanzania Dci Isaya Mgula amesema uchunguzi wa awali uliofanywa na wataalam wa mabomu kutoka Jwtz na Jeshi la Polisi Tanzania...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda amtaja Lowassa

PINDANa Debora Sanja, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana amechukua fomu ya kuwania urais, huku akieleza rekodi alizoziweka tangu alipochukua nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake, Edward Lowassa.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Pinda, pamoja na mambo mengine, alieleza mambo aliyoyafanya kuwa ni pamoja na kuendeleza yale aliyoyaasisi mtangulizi wake huyo.
Pinda alimsifia Lowassa kwa kusimamia mchakato wa ujenzi wa shule...

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu amtaja JK sakata la escrow

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amemtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa sehemu ya mgogoro mzima wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL tangu ilipoingia nchini mwaka 1994.

 

10 years ago

GPL

Maximo amtaja Boban Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JINA la kiungo mchezeshaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ limetajwa kwenye usajili wa dirisha dogo na Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Usajili huo wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu na kufungwa Desemba 15.
Maximo, hivi karibuni alitangaza kuongeza viungo wawili pekee katika usajili huo katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani