Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda asisitiza Ukawa warejee bungeni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameendelea kuwasisitiza wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni ili kuhitimisha jukumu hilo lenye masilahi kwa Watanzania wote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kinana: Siyo lazima Ukawa warejee bungeni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema mazungumzo ya kusaka mwafaka kuhusu mchakato wa Katiba Mpya baina ya chama chake na vyama ambavyo wajumbe wake wamesusia Bunge Maalumu, hakulengi kuwalazimisha kurejea katika Bunge hilo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waislamu Singida waomba Ukawa warejee Bungeni

DSC00310

Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.

Na Nathaniel Limu

WAUMINI wa dini ya kiislamu mkoani Singida, wameungana na Watanzania wanaoipenda nchi yao...

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu: Rais hakuwaomba Ukawa warejee bungeni

Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hakuwaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee kuendelea na vikao vya Bunge hilo.

 

11 years ago

Michuzi

ASKOFU KKKT IRINGA DKT MDEGELA ATAKA'UKAWA' WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI NCHINI, AWATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela Wachungaji na  msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za  pasaka zilizokuwa  zikitolewa na askofu Dkt. Mdegela Waumini  wa KKKT usharika wa kanisa  kuu Iringa leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA Na  Francis Godwin, Iringa 
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada  ya Jumapili ya Pasaka leo  kulaani vikali  wale wote  wanaowatukana...

 

11 years ago

Michuzi

SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda asisitiza umuhimu wa ardhi katika uwekezaji

Mizengo-Pinda

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda amewatoa Watanzania hofu kuhusu suala la wageni kumiliki ardhi nchini.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano wa pili wa majadiliano ya pamoja kati ya Serikali ya Mitaa ya China na Tanzania ambapo walishirikiana pia na sekta ya biashara kutoka nchi hizo.

“Hofu ni halali na ni lazima kwa Watanzania...

 

9 years ago

StarTV

Mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa asisitiza kutumia TEKNOHAMA

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinachoungwa mkono na  Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema Sera yake anayoitumia ya Elimu kwanza si kwa mfumo uliopo sasa bali atabadilisha mfumo mzima na kuufanya kuwa wa TEKNOHAMA.

Amedai teknolojia hiyo ataifanya iweze kuwafikia wananchi kwa wepesi kwa kutumia rasilimali zilizopo kama Gesi asilia, madini ,vyanzo vya utalii na fedha zilizopo kwa kuwa anaamini Serikali bado ina pesa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE:PINDA ASISITIZA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

 Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akionyesha kitabu kinachoeleza Maendeleo na historia ya Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw. Vijay Nair na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

 Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizindua kitabu kinachoeleza Maendeleo na historia ya Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE:PINDA ASISITIZA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kimataifa la Siku 3 la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 38 za Afrika na 18 kutoka nje ya Bara la Afrika leo jijini Dar es salaam.Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akionyesha kitabu kinachoeleza Maendeleo na historia ya Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw. Vijay Nair na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).Waziri Mkuu Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani