Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislamu Singida waomba Ukawa warejee Bungeni

DSC00310

Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.

Na Nathaniel Limu

WAUMINI wa dini ya kiislamu mkoani Singida, wameungana na Watanzania wanaoipenda nchi yao...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pinda asisitiza Ukawa warejee bungeni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameendelea kuwasisitiza wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni ili kuhitimisha jukumu hilo lenye masilahi kwa Watanzania wote.

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu: Rais hakuwaomba Ukawa warejee bungeni

Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hakuwaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee kuendelea na vikao vya Bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana: Siyo lazima Ukawa warejee bungeni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema mazungumzo ya kusaka mwafaka kuhusu mchakato wa Katiba Mpya baina ya chama chake na vyama ambavyo wajumbe wake wamesusia Bunge Maalumu, hakulengi kuwalazimisha kurejea katika Bunge hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Waislamu wataka Ukawa warudi bungeni

WAISLAMU nchini wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurudi katika Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

ASKOFU KKKT IRINGA DKT MDEGELA ATAKA'UKAWA' WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI NCHINI, AWATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela Wachungaji na  msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za  pasaka zilizokuwa  zikitolewa na askofu Dkt. Mdegela Waumini  wa KKKT usharika wa kanisa  kuu Iringa leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA Na  Francis Godwin, Iringa 
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada  ya Jumapili ya Pasaka leo  kulaani vikali  wale wote  wanaowatukana...

 

10 years ago

GPL

MVUTANO WAISLAMU BUNGENI, MTAANI

Stori: Mwandishi Wetu
KATIKA hali inayoashiria kutokukubaliana, mvutano mkali unatarajiwa kuwepo baina ya baadhi ya waislamu walio wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na wale walio nje ya vikao vinavyofanya mchakato wa Katiba mpya. Sheikh Himid Jongo. Mwishoni mwa wiki iliyopita iliyopita, Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa tamko la kupinga rasimu mpya ya Katiba inayopendekezwa baada ya kubaini kuwa haikuwa na kipengele cha...

 

5 years ago

Michuzi

BAKWATA SINGIDA YAWAOMBA WAISLAMU KUOMBEA DUA UGONJWA WA KORONA

 Ni Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi(CCM) Elibariki Emmanueli Kingu (wa kwanza kutoka kushoto) akimkabidhi Katibu wa Bakwata wa Mkoa wa Singida,Alhaji Buruhani Mlau vitabu vitakatifu vya korani tukufu,vikiwemo misahamu 100 pamoja na juzuu 400 kwa ajili ya kugawa kwenye misikiti ya jimbo la Singida Magharibi.Baadhi ya vitabu vitakatifu(juzuuu) zilizokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi(CCM)Elibariki Emmanueli Kingu kwa ajili ya kusambazwa kwenye misikiti ya jimbo zima la...

 

5 years ago

Michuzi

RC SINGIDA ATOA FUTARI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA WAISLAMU






Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mbwana Mtingule (kulia) akimkabidhi viazi vitamu Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau vilivyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi kwa ajili ya futari ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu wa mkoa huo leo.




Viazi vya futari vikishushwa kwenye gari.


Viazi vya futari vikiingizwa ndani ya stoo ya ofisi ya Bakwata Mkoa wa Singida.



Viazi vya futari vikiingizwa ndani ya stoo ya ofisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu wawaunga mkono UKAWA

WAKATI Umoja wa Katiba (UKAWA) ukiwalaumu baadhi ya viongozi kwa kupendelea CCM, Jumuiya, Taasisi za Kiislamu na Shura ya Maimamu nchini, wamewataka wasirejee bungeni hadi watakapohakikishiwa kuwa mawazo ya wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani