Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUTANO WAISLAMU BUNGENI, MTAANI

Stori: Mwandishi Wetu
KATIKA hali inayoashiria kutokukubaliana, mvutano mkali unatarajiwa kuwepo baina ya baadhi ya waislamu walio wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na wale walio nje ya vikao vinavyofanya mchakato wa Katiba mpya. Sheikh Himid Jongo. Mwishoni mwa wiki iliyopita iliyopita, Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa tamko la kupinga rasimu mpya ya Katiba inayopendekezwa baada ya kubaini kuwa haikuwa na kipengele cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mvutano wa madaraka wahofiwa kuondoa utulivu bungeni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la wafugaji, Makeresia Jibubu, amesema kitendo cha wajumbe wa bunge hilo kugombea madaraka kinaweza kuleta mvutano na kuondoa utulivu wa uendeshaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

Waislamu wataka Ukawa warudi bungeni

WAISLAMU nchini wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurudi katika Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waislamu Singida waomba Ukawa warejee Bungeni

DSC00310

Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.

Na Nathaniel Limu

WAUMINI wa dini ya kiislamu mkoani Singida, wameungana na Watanzania wanaoipenda nchi yao...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MVUTANO BAJETI



 Kamati ya Bunge yasema serikali haitaki kusikiliza ushauri  Yadaiwa haiumizi kichwa kusaka vyanzo vingine vya mapato  Yabanwa na kutakiwa kurejesha mikopo ya mifuko ya hifadhi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
UCHAMBUZI wa bajeti ya Serikali ya mwaka 2014/2015 uneonyesha kuwa mzigo wa matumizi ni mkubwa ikilinganishwa na vyanzo vya mapato.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge, Andrew Chenge, alipokua akiwasilisha taarifa ya kamati yake bungeni.
Chenge alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi Afrika na mvutano wa Madaraka

Siku ya demokrasia ya BBC inatoa tathimini kuhusu Viongozi wa Afrika na namna wanavyokiuka misingi ya Katiba

 

10 years ago

Mwananchi

Soko la mitumba lazua mvutano

Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) ameamua kujenga soko la kisasa eneo la Kiboriloni litakalokuwa na vibanda 200 na eneo la wazi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa mitumba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvutano wa kikatiba wafukuta AFP

Mgongano zaidi umejitokeza kwenye Chama cha Alliance of Tanzania Farmers (AFP) baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Rashid Rai kusema kwamba hakuna kifungu cha katiba yao kinachoruhusu kumfukuza mwanachama bila ya baraka za Mkutano Mkuu wa Taifa

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mvutano mkali Lwakatare, DPP

RUFAA iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), dhidi ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demopkrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick imeibua mvutano...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvutano mkali Bunge, Mahakama

Kitendo cha Mahakama kufungua milango kwa mawaziri na wabunge kufunguliwa mashtaka kutokana na kauli watakazozitoa bungeni ambazo ni kinyume cha Katiba na Sheria, kimeonekana kuwachanganya viongozi hao ambao wamesema kuwa wanalindwa na sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani