Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvutano wa madaraka wahofiwa kuondoa utulivu bungeni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la wafugaji, Makeresia Jibubu, amesema kitendo cha wajumbe wa bunge hilo kugombea madaraka kinaweza kuleta mvutano na kuondoa utulivu wa uendeshaji wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi Afrika na mvutano wa Madaraka

Siku ya demokrasia ya BBC inatoa tathimini kuhusu Viongozi wa Afrika na namna wanavyokiuka misingi ya Katiba

 

11 years ago

GPL

MVUTANO WAISLAMU BUNGENI, MTAANI

Stori: Mwandishi Wetu
KATIKA hali inayoashiria kutokukubaliana, mvutano mkali unatarajiwa kuwepo baina ya baadhi ya waislamu walio wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na wale walio nje ya vikao vinavyofanya mchakato wa Katiba mpya. Sheikh Himid Jongo. Mwishoni mwa wiki iliyopita iliyopita, Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa tamko la kupinga rasimu mpya ya Katiba inayopendekezwa baada ya kubaini kuwa haikuwa na kipengele cha...

 

10 years ago

Habarileo

7 wahofiwa kufa maji Kigoma

Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Jafari MohamedWATU saba wanahofiwa kufa maji na wengine 49 wameokolewa kutokana baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kukumbwa na dhoruba katika eneo la vijiji vya mwambao wa kusini wa Ziwa Tanganyika.

 

10 years ago

Vijimambo

Meli yazama, 13 wahofiwa kufa

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma, Jafari Mohamed.
Watu 13 wanasadikiwa kufa maji katika Ziwa Tanganyika, baada ya meli ya Mv Mbaga kuzama katika ziwa hilo usiku wa kuamkia Jumapili.

Tukio hilo lilitokea katika kijiji cha Kala, kilichopo mkoani Rukwa wakati meli hiyo ikitokea Mpulungu, Zambia kuelekea Burundi.

Mwakilishi wa meli hiyo mkoani Kigoma, Juliana Zakenda, alisema meli hiyo ilikuwa imebeba wafanyakazi 14 na tani 437 za mahindi.

Alisema kati ya wafanyakazi hao, ni mmoja tu alieokolewa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili wahofiwa kufa Tamasha la E. FM

Tamasha la uzinduzi wa kituo cha redio cha E.FM lililofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga juzi lilikumbwa na vurugu kubwa na inasadikiwa watu wawili walipoteza maisha.

 

11 years ago

BBCSwahili

24 wahofiwa kuaga dunia Zambia

wanafunzi 21 na walimu 3 wanahofiwa kuaga dunia baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama kwenye ziwa Kariba.

 

11 years ago

GPL

VOLCANO JAPAN: 30 WAHOFIWA KUFARIKI

Moshi kutoka katika mlipuko wa volcano uliotokea jana kwenye Mlima Ontake, Japan. Jivu la volcano likiwa limefunika nyumba zilizo jirani na mlima huo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima saba wahofiwa kufa maji

WAKULIMA saba wanahofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Utete kuelekea Mkongo kupigwa wimbi na kugonga boti kisha kupinduka. Ajali hiyo ilitokea juzi saa 11 jioni katika Kivuko...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu zaidi wahofiwa kufukiwa na kifusi

Zaidi ya Watu 130 wahofiwa kufukiwa na kifusi cha jengo lililoporomoka nchini India

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani