Pinda ataka WanaCCM kutobagua wagombea
MGOMBEA wa Urais kupitia CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka wanachama wa chama hicho tawala mkoani Njombe kuendelea kujitokeza kwa wingi na kuendelea kuwadhamini wagombea mbalimbali waliochukua fomu na watakaochukua fomu za kugombea nafasi ya Urais bila kubagua mgombea yoyote.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-yrerSPc4zHs/VOGfT7fBtfI/AAAAAAABlSk/HzGtAHAMxfs/s72-c/813.jpg)
WanaCCM watahadharishwa na wagombea wanaoanza kampeni kabla ya wakati
![](http://3.bp.blogspot.com/-yrerSPc4zHs/VOGfT7fBtfI/AAAAAAABlSk/HzGtAHAMxfs/s640/813.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_MBwI9eHfMs/VOGfQuIpJ1I/AAAAAAABlSM/tjivCRlr9zc/s640/817.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YZ5P2mK3A2U/VZFi_IKv73I/AAAAAAAHloI/Jo7tvucQweI/s72-c/MMGL0058.jpg)
LOWASSA AHITIMISHA ZIARA YA KUTAFUTA WANACCM WA KUMDHAMINI MKOANI MOROGORO LEO, ADHAMINIWA NA WANACCM 104,038
![](http://2.bp.blogspot.com/-YZ5P2mK3A2U/VZFi_IKv73I/AAAAAAAHloI/Jo7tvucQweI/s640/MMGL0058.jpg)
10 years ago
Habarileo13 Jul
JK ataka wagombea zaidi wapitishwe CC
MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema ipo haja ya kupanua wigo wa wagombea wanaopitishwa na Kamati Kuu katika kuwania uteuzi wa urais kupitia chama hicho.
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Pinda aionya CCM uteuzi wa wagombea
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
NGO’s zatakiwa kutobagua jamii
LENGO la kuanzishwa mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (NGOs), ni kutoa huduma kwa jamii nzima bila kubagua kundi fulani kama yanavyofanya baadhi ya mashirika hayo hapa nchini. Hayo yamebainishwa na Msajili...
10 years ago
Habarileo28 Nov
Pinda ataka subira
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema suala la kumtaka ajiuzulu wadhifa wake si jipya, lakini akasema ni vyema kusubiri mjadala wa Bunge wa sakata la Tegeta Escrow ufike mwisho, ndipo hatua stahiki zitajulikana.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Pinda ataka urais
WAKATI makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitumikia adhabu ya mwaka mmoja kwa kosa la kuanza kampeni za urais wa 2015 kabla ya muda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye...