Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ataka wagombea zaidi wapitishwe CC

Rais Jakaya Kikwete.MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema ipo haja ya kupanua wigo wa wagombea wanaopitishwa na Kamati Kuu katika kuwania uteuzi wa urais kupitia chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pinda ataka WanaCCM kutobagua wagombea

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.MGOMBEA wa Urais kupitia CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka wanachama wa chama hicho tawala mkoani Njombe kuendelea kujitokeza kwa wingi na kuendelea kuwadhamini wagombea mbalimbali waliochukua fomu na watakaochukua fomu za kugombea nafasi ya Urais bila kubagua mgombea yoyote.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea

Askofu Mkuu wa Kanisa la International Evengalist, Arumeru – Arusha, Elihudi Isangya amewataka viongozi wa dini nchini, kuviachia vyama vya siasa kuwateua wagombea wao wa urais katika Uchaguzi Mkuu ujao badala ya kuwa wasemaji wa wanasiasa.

 

10 years ago

Habarileo

Ataka siku zaidi mjadala wa Escrow

Livingstone LusindeMBUNGE wa Mtera, Livingston Lusinde (CCM), ametaka kutengwa siku zaidi ya moja za kujadili ripoti ya sakata la akaunti ya Tegeta Escrow bungeni.

 

9 years ago

Habarileo

Pinda ataka uwekezaji zaidi ufugaji wa asali

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametaka kuongezwa kwa uwekezaji katika eneo la uzalishaji asali ili sekta hiyo itoe mchango unaostahili katika uchumi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Nchini (TABEDO) juzi, Pinda alisema sekta hiyo ikipewa kipaumbele zaidi uzalishaji utaongezeka na hivyo kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kutokana na Tanzania kuwa na maeneo mengi yanayofaa kwa ajili ya ufugaji nyuki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka watafiti wa ndani watumiwe zaidi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametoa changamoto kwa taasisi mbalimbali hasa za serikali nchini kuwaamini na kuwatumia watafiti wa ndani badala ya kukimbilia kutumia wa nje ambao amesema mara nyingi huwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BAN KI MOON ATAKA USHIRIKIANO ZAIDI BAINA YA UN NA AU

Katibu Mkuu Umoja wa Mataiifa Ban Ki Moon
Na  Mwandishi Maalum, New York

Katibu Mkuu wa Umoja wa  Mataifa  Ban Ki Moon,  amesema, ushirikiano  kati ya Umoja wa Mataifa na  Umoja wa Afrika katika operesheni za ulinzi wa Amani  umekuwa  wa  mafanikio makubwa katika urejeshwaji wa hali ya amani na utulivu katika maeneo yenye  migogoro.

Hata hivyo  amesema pamoja na mafanikio hayo kuna  umuhimu wa ushirikiano huo kuboreshwa zaidi na kuwa wenye tija .

Alikuwa akizungumza  wakati wa majadiliano ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Nooij ataka umakini zaidi Taifa Stars

 Kocha wa Taifa Stars, Martinus Nooij amewaonya wachezaji wake na kuwataka waongeze umakini dakika zote 90 za mchezo, huku akiahidi ushindi ugenini dhidi ya Msumbiji.

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka nguvu zaidi dhidi ya majangili

Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka askari wa Wanyamapori nchini na watendaji wa wizara yake kuongeza nguvu zaidi kwenye mapambano dhidi ya ujangili.

 

9 years ago

Habarileo

Mbowe ataka siku zaidi kukagua taarifa za BVR

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku tatu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwa waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mfumo wa (BVR) kuhakiki taarifa zao kuwa hazitoshi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani