Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda atembelea eneo la Mishamo

IMGS8782

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa eneo la Mishamo wilayani Mpanda ambako alihutubia mkutano wa hadhara Oktoba  28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KURASMISHA ENEO LA MAKAZI MISHAMO

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa utaratibu wa namna ya kuweka mfumo mpya wa makazi kwenye eneo la Mishamo, wilayani Mpanda ili wakazi hao waondokane na hali ya kuishi kama wakimbizi.
“Ni lazima tuje na kitu kipya… tumewapa vijiji 16 na kata nne japokuwa najua hazitoshi kulingana na idadi kubwa ya wakazi mliopo kwenye eneo hili. Itabidi Serikali kwa kushirikiana na Mbunge na wadiwani waliopo wakae na kuangalia njia ya kupata kata zaidi,” alisema.
Alitoa kauli hiyo jana jioni...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa atembelea eneo alipouawa Mawazo

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa ametembelea eneo yalikotokea mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo huku wakazi wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuaga mwili wa kiongozi huyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri China atembelea eneo la mlipuko

Waziri Mkuu wa China, Li Keqiang amewatembelea waathiriwa wa mlipuko mkubwa Tianjin

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA BANDARI MPYA YA MPIGADURI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China,(kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi. Rais wa Zanzibar na...

 

5 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI NA KITUO CHA UTAFITI TUNGUU



 RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiangalia ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja  wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kulia) Injinia wa Ujenzi Ramadhan China na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ATEMBELEA ENEO LA JENGO LILILOANGUKA JANA MJI MKONGWE ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza Kamanda Ame Ali ambaye ni kiongozi wa shughuli za usafishaji wa eneo lilipoanguka jengo la ghorofa huko Shangani mjini Zanzibar. Na Khamis Haji , OMKR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amezitaka Mamlaka zinazosimamia majengo katika enelo la Mji Mkongwe Zanzibar kuwa na utaratibu mzuri wa kuyakagua ili kuhakikisha uimara wake na kuepusha maafa kwa watumiaji na jamii nzima.

Maalim...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA ENEO LA AJALI YA MABASI MUSOMA, AWAJULIA HALI MAJERUHI

Waziri wa Uchukuzi, Dkt Haririson Mwakyembe akiwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Mohamed Mpinga, wakiangalia gari la Mwanza Coach walipotembelea eneoe la ajali jana.…

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtemvu atembelea eneo lililoungua soko la Keko

 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiingia eneo lililopata madhara kutokana na kuungua moto usiku wa kuamkia leo, katika soko la Keko, katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam. Mtemvu amewapa pole walipoteza mali zao kutokana na moto huo ambao chanzo cha ke hakijajulikana.  Hadi inakisiwa imepatikana hasara ya zaidi ya sh. milioni 97.  Naibu Katibu wa soko la Keko, Hassan Gitigi (kushoto) akimpa maelezo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu kuhusu madhara yaliyosababishwa na moto huo  Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani