Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda awapongeza wanawake bora

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka wanawake waliofanikiwa kupata tuzo za wanawake bora kutobweteka, bali waendeleze juhudi ili wazidi kung’ara zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda awapongeza Muhongo na wasaidizi wake

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amemmwagia sifa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na naibu mawaziri wake, kwa kazi nzuri wanayoifanya katika wizara hiyo tangu wateuliwe kuiongoza.

 

5 years ago

Michuzi

DC KARATU AWAPONGEZA WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA KUANDAA BAJETI BORA


Na Woinde Shizza ,KARATU

Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Muhongo amewapongeza watendaji wa Halmashauri kwa kuandaa bajeti bora iliyokidhi mahitaji ya kila sekta.

Aliyasema hayo juzi katika Kikao maalumu cha kamati ya ushauri wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, na kuongozwa na mkuu wa wilaya hiyo ambaye pia ni mwenyekiti katika Kikao hicho ambacho jukumu lake ni kushauri na kilifanya mapitio ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kuridhia kupitisha bajeti hiyo.

Alisema kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Pinda Awapongeza NMB kwa Ubunifu wa Huduma zao

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda ameupongeza uongozi wa NMB kwa kubuni bidhaa bora na zinazoendana na watanzania wa kada zote akitolea mfano wa akaunti za Chap Chap.
Mh Pinda aliyasema hayo alipotembelea banda la NMB katika hoteli ya St. Gasper ya mkoani Dodoma ambapo PSPF wanafanya mkutano wao na NMB kama mdau mkubwa ameshiriki na kuweka mabanda ya huduma mbalimbali zikiwemo za NMB Wakala, NMB E- statement na Chap Chap Instant Account kwaajili ya washiriki wa mkutano huo.
Akaunti za...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake chachu kuondoa umaskini-Mizengo Pinda

Serikali imesema wanawake wa Tanzania watakuwa chachu ya taifa kuwa na uchumi wa ushindani utakaoondoa umaskini iwapo wataweza kutambua na kushiriki katika fursa zinazowazunguka kiuchumi.

 

11 years ago

Mtanzania

Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

NA MWANDISHI WETU, SEOUL

MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.

Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.

Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani