Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Tungejua tungeamua aina ya muungano kwanza

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema kama Serikali ingejua, ingeanza kwa kura za maoni ya wananchi kuamua aina ya muungano wanaoutaka, kabla ya kuendelea na mchakato wa Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muungano wa aina yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Kikwete akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam jana kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Robert Okanda).RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964, katika sherehe zilizofanyika jana katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kufana.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura aina ya Muungano Agosti

 Upigaji kura kupitisha sura mbili zinazohusu Muungano katika Bunge la Katiba umesogezwa mbele hadi Agosti litakapoitishwa tena, Mwananchi limebaini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania waachwe waamue aina ya Muungano wanaoutaka

LEO ni Sikukuu ya Muungano ambapo Watanzania tunaadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hivyo kuunda Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania. Licha ya kasoro na matatizo tuliyopitia ndani...

 

11 years ago

Habarileo

Makundi maalum wataka kujua aina ya Muungano

WAKATI Bunge la Katiba linajiandaa kuanza kuichambua rasimu ya Katiba mpya wiki ijayo, wajumbe wanaowakilisha makundi maalumu wametaka mjadala wa kwanza, iwe sura ya kwanza na sura sita ya rasimu hiyo ili makundi hayo yaweze kujua hatma ya mambo wanayoyadai yako sehemu ipi ya Muungano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KATIBA MPYA: Mwafaka wa aina ya muungano ulihitajika kabla

JAMBO ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi katika rasimu ya Katiba mpya ni hoja ya Muungano. Ingawa kwa maoni yangu ningesema yamekuwa mabishano ambayo si wengi wameyajengea hoja, lakini Watanzania wengi...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania dumisheni Muungano-Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WATANZANIA wametakiwa kila mmoja kwa nafasi yake kuulinda, kuimarisha na kuudumisha Muungano kwa kutafuta na kuhakikisha ushirikiano wa kindugu uliopo unadumishwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya taasisi za Muungano

PG4A6673

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha umoja kutoka kwa Naibu Waziri , Ofisi ya Makau wa Rais, Umy Mwalimu  baada ya kufunga monyesho ya Taasisi za Muungano kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini dar es salaam Aprili 19, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwiguli Nchemba na kulia kwake Ni Kati Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani