Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waachwe waamue aina ya Muungano wanaoutaka

LEO ni Sikukuu ya Muungano ambapo Watanzania tunaadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hivyo kuunda Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania. Licha ya kasoro na matatizo tuliyopitia ndani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUUNGANO WETU NA WATU WANAOUTAKA NA WASIOUTAKA

Richard Manyota KWENYE kaya yetu mwishoni mwa wiki iliyopita pameadhimishwa sherehe za miaka 51 za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwangu mimi sherehe hizo pamoja na historia yake nimezitazama kama za watu wanaoutaka na wasioutaka muungano. Hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Amani Abeid Karume Kielelezo: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, katika kauli zake amenukuliwa akisema muungano...

 

11 years ago

Mwananchi

Lembeli ataka Watanzania waamue mkweli

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli amesema anawaachia Watanzania waamue mkweli kati ya kamati yake na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.

 

10 years ago

Habarileo

Muungano wa aina yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Kikwete akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam jana kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange. (Picha na Robert Okanda).RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964, katika sherehe zilizofanyika jana katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kufana.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura aina ya Muungano Agosti

 Upigaji kura kupitisha sura mbili zinazohusu Muungano katika Bunge la Katiba umesogezwa mbele hadi Agosti litakapoitishwa tena, Mwananchi limebaini.

 

11 years ago

Habarileo

Makundi maalum wataka kujua aina ya Muungano

WAKATI Bunge la Katiba linajiandaa kuanza kuichambua rasimu ya Katiba mpya wiki ijayo, wajumbe wanaowakilisha makundi maalumu wametaka mjadala wa kwanza, iwe sura ya kwanza na sura sita ya rasimu hiyo ili makundi hayo yaweze kujua hatma ya mambo wanayoyadai yako sehemu ipi ya Muungano.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Tungejua tungeamua aina ya muungano kwanza

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema kama Serikali ingejua, ingeanza kwa kura za maoni ya wananchi kuamua aina ya muungano wanaoutaka, kabla ya kuendelea na mchakato wa Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KATIBA MPYA: Mwafaka wa aina ya muungano ulihitajika kabla

JAMBO ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi katika rasimu ya Katiba mpya ni hoja ya Muungano. Ingawa kwa maoni yangu ningesema yamekuwa mabishano ambayo si wengi wameyajengea hoja, lakini Watanzania wengi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi waachwe wajadili hotuba ya Rais

Katika toleo la gazeti hili jana tulichapisha habari iliyomkariri Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu akisema kwamba kuendelea kuijadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa kwenye Bunge Maalumu la Katiba mwishoni mwa wiki, ni kupoteza muda.

 

11 years ago

Habarileo

‘Watanzania wafikirie kuulinda Muungano’

Stephen WassiraWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema ni vyema Watanzania wakafikiria kudumisha Muungano kwa kutazama kero zilizoonekana miaka 50 iliyopita ikiwemo kero za watendaji, sheria na kuondoa kabisa kero zote ili kuweza kusonga mbele.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani