Kura aina ya Muungano Agosti
 Upigaji kura kupitisha sura mbili zinazohusu Muungano katika Bunge la Katiba umesogezwa mbele hadi Agosti litakapoitishwa tena, Mwananchi limebaini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Apr
Muungano wa aina yake
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964, katika sherehe zilizofanyika jana katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kufana.
11 years ago
Habarileo14 Mar
Makundi maalum wataka kujua aina ya Muungano
WAKATI Bunge la Katiba linajiandaa kuanza kuichambua rasimu ya Katiba mpya wiki ijayo, wajumbe wanaowakilisha makundi maalumu wametaka mjadala wa kwanza, iwe sura ya kwanza na sura sita ya rasimu hiyo ili makundi hayo yaweze kujua hatma ya mambo wanayoyadai yako sehemu ipi ya Muungano.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Watanzania waachwe waamue aina ya Muungano wanaoutaka
LEO ni Sikukuu ya Muungano ambapo Watanzania tunaadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hivyo kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Licha ya kasoro na matatizo tuliyopitia ndani...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Pinda: Tungejua tungeamua aina ya muungano kwanza
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
KATIBA MPYA: Mwafaka wa aina ya muungano ulihitajika kabla
JAMBO ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi katika rasimu ya Katiba mpya ni hoja ya Muungano. Ingawa kwa maoni yangu ningesema yamekuwa mabishano ambayo si wengi wameyajengea hoja, lakini Watanzania wengi...
9 years ago
Vijimambo29 Oct
HIZI NDIZO SABABU YA KWANINI MATOKEO YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO KURA ZILIZOPIGWA ZANZIBAR HAYAKUATHIRI KURA ZA NEC
![](https://zanzibarislamicnews.files.wordpress.com/2010/08/tume.jpg?w=570)
Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge.
Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.
Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja...
9 years ago
Habarileo17 Aug
Dar kuhakiki daftari la wapiga kura Agosti 18
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uhakiki wa daftari la kudumu la wapigakura kwa mkoa wa Dar es Salaam utaanza Agosti 18 mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Muungano uamuliwe kwa kura za wananchi
MVUTANO wa muundo wa serikali mbili au tatu uliogubika Bunge Maalumu, umelifanya Baraza la Mahusiano ya Dini mbalimbali kwa Amani Tanzania (IRCPT), kutaka kura ya maoni ifanyike ili wananchi waamue...
11 years ago
Habarileo28 Mar
Kura ya maoni kuamua muundo wa muungano
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amesema kura ya maoni ndiyo itakayoamua hatima ya muundo wa muungano uliopo.