Platini apoteza rufaa ya kupinga marufuku
Rais wa Shirikisho la Soka Ulaya Uefa Michel Platini ameshindwa katika rufaa yake ya kutaka marufuku ya siku 90 dhidi yake iondolewe.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Rufaa ya Blatter na Platini yakataliwa
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Rufaa ya Blatter, Platini zakataliwa
ZURICH, USWISI
RUFAA iliyokatwa na Rais wa Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) aliyesimamishwa, Sepp Blatter pamoja na Rais wa Vyama vya Soka barani Ulaya ‘Uefa’ Michel Platini, kupinga kusimamishwa kwa siku 90 zimekataliwa na kamati ya rufaa ya shirikisho hilo.
Blatter na Platini walisimamishwa tangu Oktoba mwaka huu na kamati ya maadili ya Fifa kwa muda wa siku 90 kupisha uchunguzi juu ya tuhuma za rushwa zinazowakabili viongozi hao.
Blatter alianza kukumbwa na kashfa hiyo mara baada ya...
9 years ago
Bongo519 Nov
Rufaa za Blatter, Platini zakataliwa
![blatter1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/blatter1-300x194.jpg)
Hatimaye rufaa iliyokatwa na Rais wa FIDA aliyesimamishwa Sepp Blatter pamoja na rais wa UEFA Michel Platini kupinga kusimamishwa kwa siku tisini, zimekataliwa na kamati ya rufaa ya shirikisho hilo la soka.
Blatter na Platini, walisimamishwa mwezi Oktoba na kamati ya maadili ya FIFA kwa muda wa siku tisini kupisha uchunguzi juu ya tuhuma za rushwa zinazowakabili viongozi hao wa juu.
Wote wamekana makosa yao na sasa watakata rufaa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS)
Platini...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Rufaa ya Blatter ,Platini yagonga mwamba
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
'Platini akabiliwa na marufuku ya kudumu'
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Platini apigwe marufuku ya maisha :FIFA
9 years ago
Bongo525 Nov
Kamati ya FIFA yataka Platini apigwe marufuku ya maisha ya maswala ya soka
![151112085912_michel_platini_640x360_rianovosti_nocredit](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/151112085912_michel_platini_640x360_rianovosti_nocredit-300x194.jpg)
Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza kuwa rais aliyesimamishwa kazi wa UEFA Michel Platini apigwe marufuku ya maisha asishiriki maswala yeyote ya kandanda.
Wakili wake ameiambia shirikisho la habari la AFP kuwa kamati ya nidhamu ilikuwa imependekeza marufuku ya maisha kwa mteja wake kufuatia malipo ya mamilioni ya Euro.
Platini na Blatter wote wanatumikia adhabau ya marufuku ya siku 90 kufuatia uchunguzi wa malipo ya dola milioni mbili.
Wakili anayemwakilisha Platini, Thibaud d’Ales...
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Serikali yashindwa kupinga rufaa
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Kenya yakata rufaa ya marufuku ya CAF