PLUIJM AONGEZEWA MKATABA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm.
Na Hans MloliBAADA ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, kufanikiwa kuiongoza timu hiyo kufanya vizuri katika mechi zake kadhaa ikiwemo ya kimataifa dhidi ya BDF XI ya Botswana, hatimaye uongozi wa klabu hiyo umeamua kumuongezea mkataba.Uamuzi wa kumuongezea mkataba kocha huyo wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana, ulikuja baada ya kikao cha viongozi wa Yanga kilichoketi takriban wiki moja iliyopita kwa lengo la kufanya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mkurugenzi TBC aongezewa mkataba
SERIKALI imemuongezea muda wa mkataba wa miaka miwili Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana, aliyetimiza miaka 60 ya kustaafu kwa mujibu wa sheria, Machi mwaka huu....
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
John Terry aongezewa mkataba Chelsea
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Kocha Mgambo JKT aongezewa mkataba
KOCHA wa timu ya Mgambo Shooting ya Tanga, Bakari Shime, amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Shime aliyeichukua timu hiyo...
11 years ago
GPL
Jaja aongezewa dozi ya mazoezi Yanga
9 years ago
Habarileo05 Nov
Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.
10 years ago
Mtanzania28 May
Pluijm ashtuka Yanga
JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...
10 years ago
Habarileo02 Oct
Pluijm atoboa siri Yanga
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema siri kubwa ya kikosi chake kufanikiwa kuvunja mwiko wa kuifunga Mtibwa Sugar ilitokana na wachezaji wake kucheza kwa nidhamu ya kiufundi.
9 years ago
Mtanzania04 Dec
11 Yanga wamshusha presha Pluijm
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amechekelea hatua ya kurejea kikosini kwa nyota wake waliokuwa kwenye timu za Taifa zilizoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji nchini Ethiopia, ambapo amedai sasa ndoto ya kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaweza kutekelezeka.
Kurejea kwa nyota hao kumesaidia kumshusha presha Pluijm, ambaye awali alidai kuwa michuano hiyo imemtibulia mipango yake kutokana na mikakati aliyojiwekea ya kuhakikisha anawapa...