Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm aponda mfumo wa soka nchini

>Aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans Van Der Plujim ameponda miundombinu ya viwanja nchini na kudai inachangia soka la Tanzania kutoendelea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Katibu wa Yanga aponda ubabaishaji katika soka

Soka la Tanzania limegubikwa na mfumo mbovu, wanaolisimamia wamekuwa vigeugeu kuanzia viongozi mpaka mashabiki,” anasema Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu.

 

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria Burna Boy aponda mfumo wa muziki wa Nigeria, adai umejaa siasa

Burna-Boy

Muimbaji wa Dancehall kutoka Nigeria, Burna Boy ameponda mfumo wa muziki wa Nigeria na kudai kuwa umejaa siasa ndio sababu hapati tuzo nyingi anazostahili.

Burna-Boy

Akizungumza na jarida la Fader, Burna amesema kutokana na hayo anajiona kama yeye si sehemu ya muziki wa Nigeria kwasababu kuna baadhi ya watu walioutawala muziki huo wasiompenda.

“Kusema kweli ni siasa tupu, sijioni kama ni sehemu ya kiwanda cha muziki, angalia tuzo, sipati tuzo kwasababu wanaoutawala hawanipendi, mimi sio kama...

 

9 years ago

Global Publishers

Pluijm eti anataka soka la Wenger Yanga

wengerArsene Wenger

Na Sweetbert Lukonge

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amekubali yaishe kwa kusema sasa anataka mabao tu na haina haja kupiga pasi nyingi wakati timu inataka ushindi, naye Hans van Der Pluijm wa Yanga ameiga.

Wakati Wenger akitamka maneno hayo katikati ya wiki hii, Pluijm raia wa Uholanzi anayeinoa Yanga amesema maneno hayo jana Ijumaa wakati timu yake ilipofanya mazoezi ya mwisho kabla ya leo kuivaa Mbeya City.

pluijm1.jpgHans van Der Pluijm wa Yanga.

Akizungumza na Championi Jumamosi,...

 

11 years ago

Michuzi

BAADA YA KIPIGO CHA SERENGETI BOYS, MALINZI AKIRI UBOVU WA MAANDALIZI NA KUKOSEKANA KWA MFUMO SAHIHI WA SOKA LA VIJANA

BAADA ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys kutolewa katika michezo ya kuwania kufuzu fainali za Afrika za vijana na Afrika kusini kwa wastani wa mabao 4-0, Rais wa shirikisho la soka Tanzania, TFF, Jamal Emil Malinzi amekiri kuwa bado timu haijaandaliwa vizuri.Rais Malinzi amesema tatizo la timu ni maandalizi yasiyoridhisha yanayochangiwa na kukosa mfumo sahihi na mpango mzuri wa soka la vijana.“Tatizo letu ni lile lile, kwenye maandalizi, lakini...

 

9 years ago

Mwananchi

Kukithiri rushwa nchini ni tatizo la mfumo

Katika juhudi za kuonyesha udhibiti na ufuatiliaji wa rushwa nchini, Taasisi ya Kupambana na Kudhibiti Rushwa (Takukuru) imejaribu kuonyesha makucha yake tangu kuteuliwa kwa Mkurugenzi wake mkuu, Dk Edward Hoseah mwaka 2006.

 

9 years ago

Mtanzania

Mbunge alalamikia mfumo wa elimu nchini

chadema_financeNA SAFINA SARWATT, MOSHI

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (Chadema), amesema Watanzania wengi ni masikini kwa kuwa mfumo wa elimu uliopo nchini ni mbovu.

Komu aliyasema hayo juzi katika Tarafa ya Kibosho Magharibi alipokuwa kwenye ziara na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga.

Wakati wa ziara hiyo, Komu alilenga kusikiliza kero za wananchi na kukutana na viongozi waliomaliza muda wao wakiwamo wenyeviti wa vijiji na madiwani.

“Watanzania wanatakiwa kujengewa misingi bora ya elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani