Pluijm, Hall waamini mbinu zao Jumamosi
Siku mbili kabla ya Yanga kuikabili Azam Jumamosi, makocha wao, Hans Pluijm na Stewart Hall wameandaa mbinu tofauti za ushindi, kila mmoja akijinasibu kumaliza dakika 90 kwa kicheko.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Kerr, Hall, Pluijm mwendo wa hesabu
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Waangola wampa mbinu Pluijm
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amenasa mbinu za wapinzani wao katika Kombe la Shirikisho Afrika, Etoile du Sahel ya Tunisia, wanazotumia kwenye michezo mbalimbali wanayocheza.
Moja ya michezo hiyo ni ile dhidi ya Benfica de Luanda ya Angola, waliyoitoa kwenye raundi ya kwanza ya michuano hiyo kwa mabao 2-1, Pluijm amedai kuwa ameziona mbinu zao na amewapa maelekezo wachezaji wake namna ya kukabiliana nazo.
Yanga inatarajia kuvaana na Etoile...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
KOMBE LA KAGAME: Hall, Pluijm jino kwa jino
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Kamachumu wabuni mbinu kuukabili ufisadi kwenye zao la kahawa
KWA miaka mingi zao la kahawa limeshughulikiwa kupitia kwenye vyama vya ushirika. Wakulima wa zao hilo walijiunga kwenye ushirika na kuuachia kazi ya kulitafutia soko zao hilo huku ukiwalipa wakulima...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Oct
HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO
Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania wa kutoka Zanzibar na Tanganyika. Ama sina budi ila kumshukuru Allah Salawatu Wasalamu, kwakunipatia uzima, pumzi na wasia wakuweza kuandika Makala hii kwenu nyinyi WAZALENDO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kama tulivosikia katika […]
The post HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Zitambue mbinu wanazozitumia wafanyabiashara kukushawishi ili uweze kununua bidhaa zao
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzhyFhG-oDmpUFxTcZsJdUQbit2QU2l7qd2FHogmftZzox6vf9ZsOUq-80ZxV9WGpVsqKPzO-PhWJcyAcTC5Bq0l/1.jpg?width=650)
AIRTEL FURSA YAWEZESHA VIJANA ZAIDI YA 200 ARUSHA MBINU ZA KUENDESHA BIASHARA ZAO
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili … (+Pichaz)
Katika maisha watu wana mbinu nyingi za kuhakikisha malengo au mipango yao inafanikiwa kwa kutumia mbinu tofauti tofauti. Mtu wangu wa nguvu katika pita pita zangu mitandaoni nikaingia lindaikejeblog. Tanzania tumezoea kuona madereva wa daladala wakiwashawishi traffic kwa njiani tofauti tofauti ili kukwepa adhabu au faini. Hii imetokea Lagos Nigeria dereva wa basi, baada ya kuvunja […]
The post Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili …...