Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerr, Hall, Pluijm mwendo wa hesabu

Makocha Dylan Kerr wa Simba, Stewart Hall wa Azam na Hans Pluijm wa Yanga kila mmoja ameanika mikakati ya ushindi katika kuhakikisha anatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Pluijm apiga hesabu za ubingwa

Pluijm*Adai Coastal Union imewaongezea kasi

*Aiandalia dozi Tanzania Prisons kesho

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga Mholanzi, Hans van Pluijm, ameanza kupiga hesabu za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanaoushikilia, akidai ushindi waliopata juzi dhidi ya Coastal Union utawaongezea kasi ya kutimiza hilo.

Mabingwa hao wameanza kwa kishindo kutimiza lengo lao hilo msimu huu kwa kuichapa Coastal Union mabao 2-0 kwenye mechi ya ufunguzi yaliyofungwa na Simon Msuva...

 

9 years ago

Mwananchi

Pluijm, Hall waamini mbinu zao Jumamosi

Siku mbili kabla ya Yanga kuikabili Azam Jumamosi, makocha wao, Hans Pluijm na Stewart Hall wameandaa mbinu tofauti  za ushindi, kila mmoja akijinasibu kumaliza dakika 90 kwa kicheko.

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA KAGAME: Hall, Pluijm jino kwa jino

>Makocha Hans Pluijm wa Yanga na Stewart Hall wa Azam wameanza kurushiana vijembe ikiwa ni siku moja kabla ya timu zao kukutana katika robo fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame.

 

9 years ago

Michuzi

PPF YAIBUKA KIDEDE KATIKA UTUNZAJI BORA WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA WA HESABU UPANDE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII


Na K-Vis Media/Khalfan Said.MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.
Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

5 years ago

CCM Blog

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mtanzania

Mwendo wa maagizo

MTZ IJUMAA new1.inddNa Waandishi Wetu

NI mwendo wa maagizo. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kila waziri anayefanya ziara  katika idara au taasisi zilizoko chini yake kutoa maagizo kudhihirisha uwepo wao.

Mawaziri hao ambao waliapishwa Desemba 12, mwaka huu, wameanza kazi kwa kasi kama ilivyokuwa kwa Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambao walianza kazi kwa kuwasimamisha  maofisa wa umma na wajumbe wa bodi zaidi ya 83 katika muda mfupi, kutokana na makosa mbalimbali.

Baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani