Pluijm apiga hesabu za ubingwa
*Adai Coastal Union imewaongezea kasi
*Aiandalia dozi Tanzania Prisons kesho
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga Mholanzi, Hans van Pluijm, ameanza kupiga hesabu za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanaoushikilia, akidai ushindi waliopata juzi dhidi ya Coastal Union utawaongezea kasi ya kutimiza hilo.
Mabingwa hao wameanza kwa kishindo kutimiza lengo lao hilo msimu huu kwa kuichapa Coastal Union mabao 2-0 kwenye mechi ya ufunguzi yaliyofungwa na Simon Msuva...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Kerr, Hall, Pluijm mwendo wa hesabu
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Niyonzima: Hesabu za ubingwa Chalenji zimekataa
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Pluijm: Sasa ni ubingwa tu
9 years ago
Habarileo04 Oct
Njia ya ubingwa nyeupe- Pluijm
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm ametamba kuwa haoni sababu ya kushindwa kutetea ubingwa wake. Yanga ndio inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 15 na katikati ya wiki hii iliifunga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro.
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Pluijm aota kuivua ubingwa TP Mazembe
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amekamilisha programu mpya aliyoandaa kwa wachezaji wake kuhakikisha timu hiyo inatetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kufanya kweli katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika mwakani ili kuweka rekodi ya kuivua ubingwa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Mikakati ya Pluijm ya kutaka kuivua ubingwa Mazembe, imewekwa wazi zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya dirisha dogo la usajili wa Ligi...
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Pluijm: Natamani kikubwa zaidi ya ubingwa VPL
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van Der Pluijm, amesema ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ni kitu kidogo sana kwake, kwani bado nafsi yake inatamani kitu kikubwa zaidi kwa klabu hiyo.
Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-1dhidi ya Polisi Morogoro katika mchezo wa ligi uliofanyika Jumatatu Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam na kufikisha jumla ya pointi 53, zilizopelekea klabu hiyo kutangazwa kuwa mabingwa wapya msimu huu.
Akizungumza na...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s72-c/b1.jpg)
PPF YAIBUKA KIDEDE KATIKA UTUNZAJI BORA WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA WA HESABU UPANDE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s640/b1.jpg)
Na K-Vis Media/Khalfan Said.MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.
Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gw9jzbNT4rM/VEkViYtqFAI/AAAAAAAGs_Q/Ju_LZ8YQLoM/s72-c/unnamed.jpg)
KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Gw9jzbNT4rM/VEkViYtqFAI/AAAAAAAGs_Q/Ju_LZ8YQLoM/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dxcZvVkq42E/VEkVgfeuyaI/AAAAAAAGs-s/dVCHYTLPBPc/s1600/unnamed%2B(1).jpg)