Njia ya ubingwa nyeupe- Pluijm
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm ametamba kuwa haoni sababu ya kushindwa kutetea ubingwa wake. Yanga ndio inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 15 na katikati ya wiki hii iliifunga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema21 Oct
Njia nyeupe kwa Magufuli
OKTOBA 25 mwaka huu, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani.
Evarist Chahali
10 years ago
Michuzi
FILIKUNJOMBE NJIA NYEUPE UBUNGE WAPINZANI WAKE WAINGIA MITINI

Na matukiodaimaBlog Ludewa ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) amepita bila kupingwa baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Barthomew Mkinga kushindwa kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa Fomu.
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Ludewa Bw Wiliam Waziri alisema jana kuwa Mgombea wa Chadema ameshindwa kutimiza taratibu za ujazaji wa fomu hizo hivyo kukosa sifa ya kuwa Mgombea wa Ubunge...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Pluijm: Sasa ni ubingwa tu
10 years ago
Mtanzania15 Sep
Pluijm apiga hesabu za ubingwa
*Adai Coastal Union imewaongezea kasi
*Aiandalia dozi Tanzania Prisons kesho
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga Mholanzi, Hans van Pluijm, ameanza kupiga hesabu za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanaoushikilia, akidai ushindi waliopata juzi dhidi ya Coastal Union utawaongezea kasi ya kutimiza hilo.
Mabingwa hao wameanza kwa kishindo kutimiza lengo lao hilo msimu huu kwa kuichapa Coastal Union mabao 2-0 kwenye mechi ya ufunguzi yaliyofungwa na Simon Msuva...
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Pluijm aota kuivua ubingwa TP Mazembe
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amekamilisha programu mpya aliyoandaa kwa wachezaji wake kuhakikisha timu hiyo inatetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kufanya kweli katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika mwakani ili kuweka rekodi ya kuivua ubingwa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Mikakati ya Pluijm ya kutaka kuivua ubingwa Mazembe, imewekwa wazi zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya dirisha dogo la usajili wa Ligi...
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Pluijm: Natamani kikubwa zaidi ya ubingwa VPL
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van Der Pluijm, amesema ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ni kitu kidogo sana kwake, kwani bado nafsi yake inatamani kitu kikubwa zaidi kwa klabu hiyo.
Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-1dhidi ya Polisi Morogoro katika mchezo wa ligi uliofanyika Jumatatu Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam na kufikisha jumla ya pointi 53, zilizopelekea klabu hiyo kutangazwa kuwa mabingwa wapya msimu huu.
Akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Umuhimu wa fimbo nyeupe kwa wasioona
BADO watu wenye ulemavu mbalimbali wakiwemo wasioona, wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika maisha yao kila siku. Walemavu wasioona hulazimika kutembea na wasaidizi wao katika kufanisha majukumu yao mbalimbali. Licha ya...
10 years ago
Vijimambo
KADI NYEUPE HIYO INAKUJA KWENYE MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU
