Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FILIKUNJOMBE NJIA NYEUPE UBUNGE WAPINZANI WAKE WAINGIA MITINI

Deo  Filikunjombe (CCM)
Na  matukiodaimaBlog Ludewa ALIYEKUWA  mbunge   wa  jimbo la  Ludewa  Deo  Filikunjombe (CCM)  amepita  bila kupingwa  baada ya  mgombea  wa chama  cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Barthomew Mkinga  kushindwa  kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa Fomu.
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Ludewa Bw  Wiliam Waziri alisema  jana   kuwa Mgombea wa Chadema ameshindwa kutimiza taratibu za ujazaji wa fomu hizo hivyo kukosa sifa ya kuwa Mgombea wa Ubunge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Filikunjombe apita bila kupingwa, wapinzani wake waingia mitini na fomu

Fomu ya mgombea wa  Chadema ubunge Ludewa zikiwa hazijatimia baada ya tomu ya tamko kukosekana. Fomu ya  mgombea  wa Chadema  ikiwa haijazwa senemu ya  tarehe ,mwezi na mwaka. blogger-image-737464366

Mzee  Kada  wa Chadema  akimpongeza  mbunge wa  Ludewa, Deo Filikunjombe baada ya kupewa  barua ya kupita bila kupingwa.

Mbunge  wa  Ludewa, Deo  Filikunjombe akizungumza na  wanachama  wa CCM na  wananchi wa Ludewa baada ya  kupita  bila  kupingwa. blogger-image--1715103721

Filikunjombe akionyesha barua ya  kupita bila kupingwa.

 

11 years ago

GPL

WASANII WAINGIA MITINI 40 YA GURUMO

   Ndugu, jamaa na marafiki wakisoma dua.   Baadhi ya wanamuziki na wadau wa muziki wa dansi nchini Juma Mbizo, Said Mabela, Kibiriti, Hassan Bichuka na Mbwembwe wakiwa nyumbani kwa marehemu Gurumo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Simba, Yanga waingia mitini

Wakati Yanga na Simba zimerudi mazoezini kujiandaa na pambano lao la Nani Mtani Jembe 2, litakalofanyika Desemba 13, mazoezi yao yalianza na idadi ndogo ya wachezaji jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya Nje ‘waingia mitini’ semina ya Bunge

Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, waliokuwa wafike bungeni jana kutoa mada kuhusu suala la uraia pacha kwa wajumbe wa Bunge Maalumu, ‘waliingia mitini’.

 

9 years ago

Mtanzania

Walioahidi kuchangia ‘Chozi la Fukara’ waingia mitini

Muigizaji JohaNA MANENO SELANYIKA

MWIGIZAJI chipukizi nchini, Martine Tiho, amewataka wabunge, wasanii wenye majina makubwa katika sanaa na watu maarufu walioahidi michango ya fedha wakati alipozindua filamu yake ya ‘Chozi la Fukara’ watekeleze ahadi hizo ili aweze kukamilisha na kuipeleka filamu hiyo sokoni mapema kama alivyopanga.

Tiho alisema hakuna aliyekumbuka kutoa fedha walizomwahidi hivyo ameona bora awakumbushe kupitia gazetini kwamba filamu yake inatakiwa kuwa sokoni mapema mwishoni mwa mwezi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Njia nyeupe kwa Magufuli

OKTOBA 25 mwaka huu, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani.

Evarist Chahali

 

9 years ago

Habarileo

Njia ya ubingwa nyeupe- Pluijm

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm ametamba kuwa haoni sababu ya kushindwa kutetea ubingwa wake. Yanga ndio inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 15 na katikati ya wiki hii iliifunga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro.

 

9 years ago

Mwananchi

Makamba, Filikunjombe, Jenista warejeshewa wapinzani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kuwarejesha wapinzani kwenye majimbo manne kati ya matano yaliyoripotiwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kupita bila kupingwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baba anapoingia mitini na michango ya harusi ya kijana wake!

KATIKA hali ya kawaida wazazi wa kijana au binti anayetarajia kuoa au kuolewa wao ndio wanaokuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha mtoto wao anafanikiwa vema katika maandalizi ya harusi mtoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani