Filikunjombe apita bila kupingwa, wapinzani wake waingia mitini na fomu
Fomu ya mgombea wa Chadema ubunge Ludewa zikiwa hazijatimia baada ya tomu ya tamko kukosekana.
Fomu ya mgombea wa Chadema ikiwa haijazwa senemu ya tarehe ,mwezi na mwaka.
Mzee Kada wa Chadema akimpongeza mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe baada ya kupewa barua ya kupita bila kupingwa.
![](http://lh3.googleusercontent.com/-ha9uY3b3FRo/VdsTx91s_8I/AAAAAAACADo/OqlD12You68/s640/blogger-image-2045842457.jpg)
![blogger-image--1715103721](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/blogger-image-1715103721.jpg)
Filikunjombe akionyesha barua ya kupita bila kupingwa.
![](http://lh3.googleusercontent.com/-TUU_ukM5QV8/VdsT2STiLSI/AAAAAAACADw/chGpXPraTPM/s640/blogger-image--1568280623.jpg)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gEvEsX4FLfU/VdsZ6xxfzlI/AAAAAAAHzo4/xIWnkz_1cF4/s72-c/DSC_0153.jpg)
FILIKUNJOMBE NJIA NYEUPE UBUNGE WAPINZANI WAKE WAINGIA MITINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-gEvEsX4FLfU/VdsZ6xxfzlI/AAAAAAAHzo4/xIWnkz_1cF4/s640/DSC_0153.jpg)
Na matukiodaimaBlog Ludewa ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) amepita bila kupingwa baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Barthomew Mkinga kushindwa kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa Fomu.
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Ludewa Bw Wiliam Waziri alisema jana kuwa Mgombea wa Chadema ameshindwa kutimiza taratibu za ujazaji wa fomu hizo hivyo kukosa sifa ya kuwa Mgombea wa Ubunge...
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Mgombea udiwani CCM apita bila kupingwa
9 years ago
VijimamboMBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE APINGWA KUPITA BILA KUPINGWA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU
11 years ago
GPLWASANII WAINGIA MITINI 40 YA GURUMO
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Nyota Simba, Yanga waingia mitini
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Mambo ya Nje ‘waingia mitini’ semina ya Bunge
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Walioahidi kuchangia ‘Chozi la Fukara’ waingia mitini
NA MANENO SELANYIKA
MWIGIZAJI chipukizi nchini, Martine Tiho, amewataka wabunge, wasanii wenye majina makubwa katika sanaa na watu maarufu walioahidi michango ya fedha wakati alipozindua filamu yake ya ‘Chozi la Fukara’ watekeleze ahadi hizo ili aweze kukamilisha na kuipeleka filamu hiyo sokoni mapema kama alivyopanga.
Tiho alisema hakuna aliyekumbuka kutoa fedha walizomwahidi hivyo ameona bora awakumbushe kupitia gazetini kwamba filamu yake inatakiwa kuwa sokoni mapema mwishoni mwa mwezi...
10 years ago
Habarileo06 Jul
Shein apita bila jasho CCM
KIKAO cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM -Zanzibar kwa kauli moja imependekeza kwa Kamati Kuu jina la Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuteuliwa kuwania tena kiti cha Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.
10 years ago
Mtanzania11 Sep
‘Atakayeruhusu CCM kushinda bila kupingwa kushughulikiwa’
![Freeman Mbowe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Freeman-Mbowe.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kiongozi yeyote ndani ya chama hicho ambaye ataruhusu mgombea kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda uchaguzi bila kupingwa atashughulikiwa.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Alisema katika uchaguzi wa Serikali za...