MWENDO WA BARAKOA
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog5 years ago
MichuziUKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI
Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...
5 years ago
MichuziKIKUNDI CHA BARAKOA TZ CHAGAWA BARAKOA BURE ZAIDI YA 1000 MAENEO MBALIMBALI IKIWEMO VITUO VYA WATOTO YATIMA
Baada ya wiki moja, uhitaji wa barakoa uliongezeka maradufu na hivyo akaona umuhimu wake...
10 years ago
Michuzi9 years ago
Mtanzania18 Dec
Mwendo wa maagizo
Na Waandishi Wetu
NI mwendo wa maagizo. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kila waziri anayefanya ziara katika idara au taasisi zilizoko chini yake kutoa maagizo kudhihirisha uwepo wao.
Mawaziri hao ambao waliapishwa Desemba 12, mwaka huu, wameanza kazi kwa kasi kama ilivyokuwa kwa Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambao walianza kazi kwa kuwasimamisha maofisa wa umma na wajumbe wa bodi zaidi ya 83 katika muda mfupi, kutokana na makosa mbalimbali.
Baada ya...
5 years ago
BBCSwahili20 May
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Azam ni mwendo wa visasi tu
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BAADA ya kulipa kisasi dhidi ya timu ya JKT Ruvu kwenye mchezo uliopita, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC wameapa kuendeleza wembe huo watakapoivaa Ndanda FC kesho.
Jumamosi iliyopita Azam iliifunga JKT bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliofanyika Uwanja wa Azam Complex na kulipa kisasi cha kufungwa kama hivyo mzunguko wa kwanza.
Azam itaingia uwanjani kesho ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa na Ndanda bao 1-0, kwenye mchezo wa...
5 years ago
MichuziUBUNIFU KATIKA UTENGENEZAJI WA BARAKOA
Kwa upande wa hii sijui kama ni kwaajili ya kujikinga na virusi vya Covid -19.
Vidumu vya maji navyo vimeonekana kutukika kama Barakoa. Majani ya Moga aina Kabichi nayo imetumika kama Barakoa
Cha Msingi ni kujikinga na kuonekana kuwa umevaa Barakoa.