Mwendo wa maagizo
Na Waandishi Wetu
NI mwendo wa maagizo. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kila waziri anayefanya ziara katika idara au taasisi zilizoko chini yake kutoa maagizo kudhihirisha uwepo wao.
Mawaziri hao ambao waliapishwa Desemba 12, mwaka huu, wameanza kazi kwa kasi kama ilivyokuwa kwa Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambao walianza kazi kwa kuwasimamisha maofisa wa umma na wajumbe wa bodi zaidi ya 83 katika muda mfupi, kutokana na makosa mbalimbali.
Baada ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Brandts awapa maagizo fowadi
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU: ATOA MAAGIZO
“Sheria inakataza kuweka matumizi yoyote yasiyokuwa ya kitaaluma katika maeneo ya shule kwani yanasababisha kelele hivyo wanafunzi kushindwa kusoma vizuri.”
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni(Jumanne, Machi 3, 2020) baada ya kupokea malalamiko ya wazazi kuhusu eneo la shule ya msingi...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Siku 16, maagizo 40 ya mawaziri wa JPM
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-g6ZKH7jRsoY/VS_laVSN71I/AAAAAAAACGs/OYDZ2q6pA2Q/s72-c/waziri_nyalandu.jpg)
Nyalandu atekeleza maagizo ya Kinana
NA MWANDISHI WETU, MBARALI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemaliza mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa zaidi ya miaka saba kati ya wananchi wa vijijii 21 na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Nyalandu, ambaye yuko ziarani mjini hapa, jana aliwaeleza wananchi kuwa serikali haiwezi kuwaacha wananchi wake wakanyanyasika hivyo ni lazima ichukue hatua.
Uamuzi huo wa serikali wa kumaliza mgogoro huo, ni utekelezaji wa maagizo ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuitaka...
10 years ago
Vijimambo23 Jan
TFF yatekeleza maagizo ya Yanga
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2598466/highRes/927882/-/maxw/600/-/kqt1up/-/Yanga.jpg)
Katika kile kinachoonekana kama kuendeshwa na Yanga, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungia refa Mohamed Teofile kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.
Jana mchana NIPASHE ilipata taarifa kutoka ndani ya TFF zikieleza kuwa refa huyo ameondolewa katika ratiba ya waamuzi wa msimu huu, taarifa ambazo baadaye...
11 years ago
Mwananchi07 Jul
Zambi: Serikali mbili ni maagizo ya JK
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-fskqyj-z-Bs/Xr5z15Dr7aI/AAAAAAABMFY/1DF3soO2N0caoLzh2yZoJiy84TxamDeKQCLcBGAsYHQ/s72-c/95571668_3080987885295398_8738455441563975680_n.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TQswG1vAZuw/VH7sHXgNDKI/AAAAAAAG078/JDYm26y9MM0/s72-c/unnamed.jpg)
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Profesa Mbarawa atoa maagizo Dawasco
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), kufikisha maji kwa wateja milioni moja hadi kufikia Juni mwaka ujao.
Mbarawa alimtaka Mkurugenzi wa Dawasco, Cyprian Luhemeja kuongeza makadirio waliyokuwa wamejiwekea kwa kuongeza wateja kutoka 148,000 waliopo kwenye bili hadi kufikia milioni moja.
Profesa Mbarawa aliyasema hayo jana katika ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika...