Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waangola wampa mbinu Pluijm

pluijmNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amenasa mbinu za wapinzani wao katika Kombe la Shirikisho Afrika, Etoile du Sahel ya Tunisia, wanazotumia kwenye michezo mbalimbali wanayocheza.
Moja ya michezo hiyo ni ile dhidi ya Benfica de Luanda ya Angola, waliyoitoa kwenye raundi ya kwanza ya michuano hiyo kwa mabao 2-1, Pluijm amedai kuwa ameziona mbinu zao na amewapa maelekezo wachezaji wake namna ya kukabiliana nazo.

Yanga inatarajia kuvaana na Etoile...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Pluijm, Hall waamini mbinu zao Jumamosi

Siku mbili kabla ya Yanga kuikabili Azam Jumamosi, makocha wao, Hans Pluijm na Stewart Hall wameandaa mbinu tofauti  za ushindi, kila mmoja akijinasibu kumaliza dakika 90 kwa kicheko.

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI WAMPA LIKIZO JB

Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’. Imelda Mtema LIKIZO! Mkongwe wa sinema Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa amelazimika kujipa likizo ya lazima kwa kutofanya shughuli za sanaa hadi pale uchaguzi utakapopita. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, JB alisema ameamua kusimama kazi zake za sanaa kwani kwa sasa kila mtu anawaza mambo ya uchaguzi na hakuna chochote anachoweza kufanya kikapokelewa bila...

 

9 years ago

Global Publishers

TRA wampa presha Masanja

masanja2Mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji.

MUSA MATEJA
2016, kazi imepamba moto! Zoezi linaloendelea kufanywa na maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kuhakikisha kila mtu analipa kodi inavyotakiwa ili kuipa hazina mapato, sasa limetua kwa mchekeshaji, mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji,’ tembea na Ijumaa Wikienda.

Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, mfanyakazi mmoja wa TRA Tawi la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ukatili Wampa Ulaji Jengua

Muigizaji mkongwe wa hapa Bongo, Mzee Jengua  amesema kuwa ameshirikishwa  katika filamu ya Sio Dili inayohusu mauaji ya Albino kutokana na hulka yake ya ukatili awapo kazini.

Akizungumza na Gazeti la Nipashe , Jengua  alisema  muandaaji wa filamu hiyo aliona yeye ndio  anafaa kuwa mtu  anayefanya biashara ya viungo vya Albino kutokana na uigizaji wake wa ukatili, katika filamu zilizopita.

Jengua hata hivyo amesema anaumizwa na tabia za watu ambao hukata viungo vya au kuwaua  kwa imani za...

 

11 years ago

Mwananchi

Tabora wampa Kinana salamu za JK

Wana-CCM wa Mkoa wa Tabora wamemkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi yake ya ujenzi wa bomba la maji kutoka Ziwa Victoria.

 

9 years ago

Habarileo

Wazee wampa baraka Magufuli

WAASISI na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemtakia kila la heri Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli kutekeleza majukumu yake vyema ya kuwatumikia wananchi wote wa Tanzania akiwa Rais wa Awamu ya Tano.

 

11 years ago

GPL

Waarabu wampa Okwi sh 800M

PAMOJA na kuelezwa kuwa thamani ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imeshuka hadi dola 205,000 (Sh milioni 328), klabu ya Al Ain ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza dola 500,000 (zaidi ya Sh milioni 800) ili kumnasa. Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Al Ain ndiyo timu anayochezea mshambuliaji nyota wa Ghana, Asamoah Gyan na imekubali kumlipa Okwi kitita cha dola 10,000 (Sh milioni 16) kwa mwezi, yeye mwenye anajua. Iwapo biashara hiyo...

 

9 years ago

Habarileo

Ushindi wampa raha Kibadeni

USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata JKT Ruvu dhidi ya African Sports juzi umepokewa kwa mikono miwili na kocha Abdallah Kibadeni.

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu ‘wampa ndiyo’ Makamba

Moto wa uchaguzi mkuu umezidi kupamba baada ya mtandao wa walimu vijana nchini kujitokeza hadharani na kuahidi kumpigia kampeni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba katika safari yake ya kuwania urais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani