Polisi: Hatukumpiga risasi Ponda
Shahidi wa pili katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro kuwa, hawakuhusika kumpiga risasi mtuhumiwa huyo na kwamba alikamatwa katika Hospitali ya Muhimbili akitibiwa jeraha alilodai lilitokana na risasi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM31 Dec
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Wanajeshi, polisi watwangana risasi
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Polisi wafyatua risasi Keko
10 years ago
Mwananchi06 Apr
Polisi ajiua kwa risasi kituoni
9 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAKAMATA SILAHA 8 NA RISASI 62
Akiongea na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amesema wahalifu walidhani kuwa Jeshi la Polisi limeweka nguvu katika uchaguzi mkuu na kusahau kufanya misako...
10 years ago
CloudsFM03 Oct
WANAJESHI,POLISI WAPIGANA KWA RISASI
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na askari wa Jeshi la Polisi, wameshambuliana kwa silaha mbele ya raia na kusababisha baadhi ya maofisa waandamizi kujeruhiwa kwa risasi, baadhi yao vibaya.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 11:00 jioni katika Kituo Kikuu cha Mabasi mjini Tarime.
Waliojeruhiwa katika tukio hilo ni askari JWTZ, Aloyce Filbert (24), aliyepigwa risasi mguuni na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya, SSP Salum, aliyejeruhiwa kichwani pamoja askari kadhaa.
...
9 years ago
GPLUNDANI POLISI KUJIUA KWA RISASI
10 years ago
Vijimambo06 Apr
Polisi ajiua kwa kujipiga risasi.
Askari wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, H 3416 PC Charles, amejiua kwa kujipiga risasi.
Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho cha polisi, Paulo Lazaro na Furahisha Felix, walisema tukio hilo lilitokea Aprili 4, mwaka huu, saa 1:00 usiku kituoni hapo.
“Suala hili limetushangaza, kwani sisi tulikuwa nyumbani. Ghafla tulisikia mlio wa bunduki katika kituo cha polisi. Tulipofika, tulimkuta askari huyo akiwa amekufa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Polisi waua mwanamke kwa risasi
MWANAMKE mmoja Joyce Maragabu (65), amekufa baada ya kupigwa risasi kichwani na askari polisi waliokuwa kwenye jitihada ya kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi, aliyekuwa mnadani Kijiji cha Iglansoni, Wilaya Ikungi mkoani...