Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waua mwanamke kwa risasi

MWANAMKE mmoja Joyce Maragabu (65), amekufa baada ya kupigwa risasi kichwani na askari polisi waliokuwa kwenye jitihada ya kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi, aliyekuwa mnadani Kijiji cha Iglansoni, Wilaya Ikungi mkoani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Iglansoni, ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani kwa bahati mbaya na askari polisi waliokuwa katika jitihada za kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi.

Aliyeuawa ni Joyce Maragabu (65), ambaye anadaiwa kupigwa risasi na askari hao waliokuwa wakijihami na kundi la watu waliotaka kuwavamia ili wasimkamate mhalifu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela, alisema askari hao walikuwa wanataka kumkamata, Nkida...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi ajiua kwa risasi kituoni

>Polisi aliyefahamika kwa jina la Charles mwenye namba H 3416 wa Kituo cha Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya kituo.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi ajiua kwa kujipiga risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzana Kaganda.
Askari wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, H 3416 PC Charles, amejiua kwa kujipiga risasi.

Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho cha polisi, Paulo Lazaro na Furahisha Felix, walisema tukio hilo lilitokea Aprili 4, mwaka huu, saa 1:00 usiku kituoni hapo.

“Suala hili limetushangaza, kwani sisi tulikuwa nyumbani. Ghafla tulisikia mlio wa bunduki katika kituo cha polisi. Tulipofika, tulimkuta askari huyo akiwa amekufa...

 

9 years ago

GPL

UNDANI POLISI KUJIUA KWA RISASI

Na Francis Godwin, Iringa JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limeanza uchunguzi kujua chanzo cha askari wake wa upelelezi, Paschal Shila (pichani)kujiua kwa kujipiga risasi muda mfupi baada ya kudanganya kuna sehemu kulikuwa na uhalifu hivyo kukabidhiwa bunduki huku akiwa ametoka kugombana na mke wake. Askari huyo ambaye kabla ya kutoka katika ghala la silaha, alitoroka wenzake ambao walipaswa kwenda naye kwenye kazi siku hiyo na...

 

10 years ago

CloudsFM

WANAJESHI,POLISI WAPIGANA KWA RISASI

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na askari wa Jeshi la Polisi, wameshambuliana kwa silaha mbele ya raia na kusababisha baadhi ya maofisa waandamizi kujeruhiwa kwa risasi, baadhi yao vibaya.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 11:00 jioni katika Kituo Kikuu cha Mabasi mjini Tarime.

Waliojeruhiwa katika tukio hilo ni askari JWTZ, Aloyce Filbert (24), aliyepigwa risasi mguuni na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya, SSP Salum, aliyejeruhiwa kichwani pamoja askari kadhaa.

...

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi

Polisi wawili mkoani Geita, G 6512 PC Hamis Zunzu na E1465 Koplo Said Mohamed wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi raia wa Burundi na Mtanzania mmoja, huku jambazi mmoja akiuawa na wananchi baada ya kujeruhiwa na risasi mguu na kushindwa kukimbia.

 

9 years ago

Global Publishers

Polisi Wauana kwa Risasi Mwanza Wakiwa Lindoni

1Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP Justus Kamugisha.   ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo Daud Masunga Elisha, amemuua askari mwenzake, Konstebo Petro Saimon Matiko kwa risasi na baadaye na yeye kujiua kwa risasi. Tukio hilo lilitokea jana saa 8.30 mchana jijini Mwanza katika eneo la Benki ya Posta Tawi la Pamba wilayani Nyamagana huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa hakijulikani. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Justus Kamugisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wawatawanya wafuasi wa Ukawa kwa risasi Vunjo

Jeshi la Polisi, jana lililazimika kufyatua risasi za moto hewani ili kuwatawanya wafuasi wa Chadema na NCCR-Mageuzi waliokuwa wamekusanyika nje ya kituo cha Polisi cha Himo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani