Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Watu 12 wamejeruhiwa wakati wa mashambulizi ya kurushiana risasi baina ya askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Kikosi 128 KJ cha Nyandoto na Polisi wa Kituo cha Stendi wilayani Tarime mkoani Mara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

WANAJESHI,POLISI WAPIGANA KWA RISASI

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na askari wa Jeshi la Polisi, wameshambuliana kwa silaha mbele ya raia na kusababisha baadhi ya maofisa waandamizi kujeruhiwa kwa risasi, baadhi yao vibaya.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 11:00 jioni katika Kituo Kikuu cha Mabasi mjini Tarime.

Waliojeruhiwa katika tukio hilo ni askari JWTZ, Aloyce Filbert (24), aliyepigwa risasi mguuni na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya, SSP Salum, aliyejeruhiwa kichwani pamoja askari kadhaa.

...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi, JWTZ watwangana

ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na askari Polisi wameshambuliana hadharani katika Stendi ya Mabasi mjini hapa na kusababisha uvunjivu wa amani na baadhi yao kujeruhiwa. Katika vurugu hizo za juzi saa 11 jioni zilizosababisha shughuli mbalimbali kusimama ikiwemo maduka kufungwa, askari kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa hospitalini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi, raia watwangana baada ya kufumaniana

WAKAZI wawili wilayani hapa, wamelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga baada ya kujeruhiwa katika mapigano kati yao na askari Polisi, baada ya kumshika ugoni mmoja wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wafyatua risasi Keko

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke lililazimika kupiga risasi za mpira hewani (Branco) ili kutawanya watu waliosadikiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakijaribu kupora mali kwenye Kiwanda cha Kashaba (KCI) katika eneo la Keko baada ya kiwanda hicho kuwaka moto juzi usiku na kuteketeza sehemu kubwa ya mali zenye thamani ya zaidi ya Sh 200 milioni zilizokuwamo ndani.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi: Hatukumpiga risasi Ponda

Shahidi wa pili katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro kuwa, hawakuhusika kumpiga risasi mtuhumiwa huyo na kwamba alikamatwa katika Hospitali ya Muhimbili akitibiwa jeraha alilodai lilitokana na risasi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wavamia Chama cha Wanajeshi Myanmar

Polisi na wanajeshi wa Myanmar wamevamia makao makuu ya chama kinachoungwa mkono na jeshi cha Nay-Pyi-daw

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAKAMATA SILAHA 8 NA RISASI 62

Na. Lilian Lundo - MaelezoJESHI la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 7 wakiwa na  silaha 8  na risasi 62 kwenye msako uliofanyika jijini  Dar es salaam katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Akiongea na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amesema  wahalifu walidhani kuwa Jeshi la Polisi limeweka nguvu katika uchaguzi mkuu na kusahau kufanya misako...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi ajiua kwa risasi kituoni

>Polisi aliyefahamika kwa jina la Charles mwenye namba H 3416 wa Kituo cha Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya kituo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani