Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi kulinda haki za watoto

WANANCHI wametakiwa kuzingatia haki za binadamu na kutambua kuwa kila mmoja ana wajibu wa kuishi bila kushurutishwa na mtu. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-BALOZI SEIF

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu



Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waaswa kulinda amani, umoja, haki

Watanzania wameaswa kuzilinda kwa hali na mali tunu muhimu za Taifa ambazo ni amani, umoja na haki ili kuepuka machafuko na kupita salama katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Mpaka sasa viashiria vya uvunjifu wa tunu hizo vinatajwa kuanza kuonekana kutokana na kuwepo kwa sera za uchochezi kwa baadhi ya vyama vya siasa vingine vikiwahimiza vijana kulinda kura siku ya uchaguzi jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Tume ya Uchaguzi nchini NEC.

Ni takribani wiki...

 

10 years ago

Michuzi

Mabunge Duniani yanawajibu wa kulinda na kutetea haki za Binadamu: Kashililah

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas kashililah akisisitiza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka taasisi inayojishughulisha na masuala ya kibunge ya Parliamentarians for Global Action Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Ujumbe huo upo kwenye ziara yao ya kikazi kutembelea kila Bunge Duniani na kueleza malengo na mipango yao hususani kuangalia namna wanavyoweza kushirikiana na wabunge kutatua baadhi ya masuala yahusuyo haki za Binadamu. Kulia ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John...

 

5 years ago

Michuzi

RC SINGIDA DK.NCHIMBI: NI WAJIBU WA SERIKALI KULINDA HAKI NA MALI ZA RAIA

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi  akimpa pole Fundi Ujenzi,  Daniel Michael wa Kijiji cha Itagata baada ya kutoa   malalamiko ya kutolipwa zaidi ya Sh.milioni 4.6 na mkandarasi aliyejenga bwawa la mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika kijiji hicho, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea na  kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi juzi.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dk. Angelina Lutambi, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Itigi (hawapo pichani...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI AAHIDI KULINDA HAKI ZA WANAWAKE- " SITOKUBALI KUONA WAKIONEWA"


Charles James, Michuzi TV

WANAUME nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka huu ambapo kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika Mkoani Simiyu.

DC Katambi amesema Wanawake wengi wapewapo fursa hufanya vizuri zaidi na kwa uaminifu kuliko wanaume wengi hivyo...

 

10 years ago

Habarileo

Changamoto za kulinda watoto zatajwa

KUTOKUWAPO kwa uhusiano wa karibu kati ya sheria, sera, miongozo na kanuni, bado ni changamoto kubwa katika kulinda na kuwasimamia watoto na vijana waliopo kwenye mazingira magumu.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete atuzwa kulinda, kutetea watoto duniani

RAIS Jakaya Kikwete, ametunukiwa tuzo na Taasisi inayosambaza chanjo za watoto duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunization (GAVI) kwa uongozi wake katika kutetea na kulinda maisha na hadhi ya watoto duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani