Polisi kuweka vituo maalumu ufukweni
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema litaimarisha ulinzi kwa kuweka vituo vya muda katika fukwe za Bahari ya Hindi pamoja na maeneo yote yatakayokuwa na mikusanyiko ya watu wengi wakati wa mkesha wa Mwaka Mpya.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna Suleiman Kova, alisema watashirikisha wadau wengine wa ulinzi na usalama ili kuhakikisha hali ya usalama inaimarika.
Alisema wakati wa mkesha wataweka ulinzi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Polisi Musoma kuweka kituo maalumu Wilayani Butiama
9 years ago
StarTV23 Dec
Jeshi la Polisi laombwa kuweka ulinzi maalumu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino)
Chama watu wenye ulemavu wa ngozi Albino Mkoa wa Tanga kimeliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi maalumu kwenye maeneo yenye walemavu hao kama sehemu ya kukabiliana na ukataji wa viungo na mauaji ya watu hao.
Kauli ya chama hicho imekuja baada ya mlemavu mwenzao wa ngozi Ester Maganga mkazi wa wilaya ya Lushoto kukatwa kidole chake cha mkono wa kusoto kwa imani za kishirikina.
Katibu wa chama cha Albino Mkoa wa Tanga, Mahmud Salekhe amesema kitendo cha Mwenzao Ester Maganga mkazi wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Nitaondoa njaa, wakulima watatumia helkopta kumwagilia mashamba, nitajenga vituo maalumu vya Albino na wazee — Rungwe
Mgombea Urais wa CHAUMA,Hashim Rungwe katika pozi tofauti akihutubia wananchi wa Singida mjini jana.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMA) Hashim Rungwe akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni Mkoani Singida, ambapo aliahidi kuwaondolea wananchi njaa.
Mgombea mwenza wa CHAUMA Issa Abas Husein nae akihutubia wananchi wa Singida mjini.
WANANCHI wakimsikiliza Mgombea Urais wa CHAUMA kwenye kituo cha stendi ya zamani Mjini Singida jana.
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI TANZANIA LAKABIDHIWA MASHINE ZA KUWEKA ALAMA SILAHA
9 years ago
Habarileo12 Sep
Polisi Kanda Maalumu waomba utulivu
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kikamilifu kulinda amani na usalama wa nchi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi na wakati wa uchaguzi mkuu na kutoa onyo kwa wale watakaovuruga amani na usalama, kwani wakibainika watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
Polisi Israel waweka vituo vya ukaguzi
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Uvamizi vituo vya polisi unaashiria nini?
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Wananchi watakiwa kujenga vituo vya polisi
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewataka wananchi kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi ili kusaidiana na Serikali katika kukabiliana na tatizo la uhalifu nchini.
IGP Mangu alitoa rai hiyo jana mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa jengo la Kituo cha Polisi cha Majengo pamoja na jengo la Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini, vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi na wadau...