Polisi Mara yawatia mbaroni watu 72
Polisi mkoani wa Mara wamefanikiwa kuwakamata watu 72 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kukutwa na misokoto 2800 ya bangi ,Pombe aina ya Gongo,bunduki na Risasi pamoja na pikipiki zilizoporwa kutokana na Oparesheni maalumu ya kupambana na uhalifu na wahalifu zinazoendelea katika wilaya za Bunda,Serengeti,Butiama Na Musoma.
Akizungumza na Vyombo vya Habari mjini Musoma, Kamanda wa jeshi la Polis mkoa wa Mara kamishina Msaidizi wa polisi Phillip Kalangi, amesema kuwa katika Oparation hizo ambazo...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YKSaFWhs-tg/XlULsUkAdrI/AAAAAAALfRE/mD6Kno4ay-MyqClZevaVx0iD6TdLkDh4gCLcBGAsYHQ/s72-c/b4b28911-be6c-41bc-aeb0-38e0cc1f3f29.jpg)
WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s72-c/pccb.jpg)
TAKUKURU MANYARA YAWATIA MBARONI MAOFISA WAWILI WA TRA
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu (Pichani) akizungumza mjini Babati alisema maofisa hao TRA wanadaiwa kufanya kosa hilo kinyume cha kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007.
![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s640/pccb.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s72-c/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s1600/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lugWisVUQVA/XuptW5zGs6I/AAAAAAALuSk/DN5pZ7qdc5kOOuGLEEGRoWM8zB8L9USzgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-17%2Bat%2B8.38.54%2BPM.jpeg)
UHAMIAJI Yawatia Mbaroni Watuhumiwa 03 Wanaofanya Shughuli za Kughushi Huduma za Kiuhamiaji
Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo katika Ofisi ndogo za Uhamiaji Makao Makuu Dar se salaam, Msemaji mkuu wa Uhamiaji Mrakibu Paul John Mselle alisema, Watuhumiwa hao walikamatwa jana Juni 16,2020 majira ya saa saba usiku katika eneo la Somanga Wilaya ya Kigamboni na Mbagala Wilaya Temeke katika Jiji la Dar es salaam .
Watuhumiwa hao wamekamatwa kutokana na oparesheni...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WATU 10 WATIWA MBARONI NA POLISI KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA JIJINI MWANZA
Polisi jijini Mwanza imelazimika kutumia mabomu ya machozi kufuatia vurugu za baaadhi ya wafanyabiashara wadogo maaarufu kama machinga na watoto wa mitaani wakipinga kupinga zoezi la kuhamishwa eneo la Makoroboi walilokuwa wakifanyia biashara hapo awali.
Zoezi hili limesababisha wafayabiashara mbalimbali kufunga biashara zao na wengine kupoteza mizigo kutokana na vurugu hizo huku idadi kubwa ya wananchi wakishindwa kuendelea na shuguli zao
Nia aina ya vurugu zilizo tokea kwa takribani masaa...
11 years ago
Michuzi28 Jul
9 years ago
VijimamboNEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MBILI KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
9 years ago
MichuziNEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MOJA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
10 years ago
Mtanzania10 Jun
152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...