POLISI MKOANI ARUSHA ASHIKILIWA KWA UBAKAJI

Na Ahmed Mahmoud Arusha
Katibu wa ccm Tawi la Jamhuri kata ya Daraja mbili jijini Arusha,Aron Sanare Kivuyo anashikiliwa na jeshi la Polisi Jijini hapa kwa kosa la kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa kituo cha Compassion Mwenye umri wa miaka 15 baada ya kumrubuni kwa fedha na mahitaji mbalimbali aliyokuwa akimpatia.
Aroni Mwenye umri wa miaka 56 mkazi mtaa wa Sanare,Daraja mbili anadaiwa kumpachika ujauzito mwanafunzi huyo baada ya kumrubuni kwa kumpatia fedha na mahitaji mengine...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KUJIFANYA AFISA USALAMA WA TAIFA

10 years ago
GPL
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZ: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe. Joshua Nassari (pichani) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa na tukio la kumteka mtendaji wa kata ya makiba.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas alisema kuwa Mhe Nassari huyu alikamatwa majira ya saa moja usiku December 16 katika eneo la Doli lililopo katika kijiji cha UsaRiver kwenye gari aina ya Land cruiser lenye namba za usajili T 753...
11 years ago
MichuziMBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Polisi wapigwa kalamu kwa ubakaji India
5 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Ashikiliwa kwa nyara za Serikali
5 years ago
Michuzi
WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA MITANO HADI 12 RAIA WA ETHIOPIA WAKUTWA WAMEHIFADHIWA KWENYE NYUMBA YA MTU BINAFSI MKOANI ARUSHA ...POLISI WATOA NENO

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watoto sita raia wa Ethiopia akiwemo mwenye umri wa miaka mitano baada ya kukuta wamehifadhiwa kwenye nyumba ya mtu binafsi eneo la Ngureso katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Akizungumzia tukio hilo leo Kamanda wa Polisi omkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa watoto hao wenye umri wa miaka mitano hadi 12 waligundulika Februari 20 mwaka huu kuhifadhiwa nyumbani kwa Amina Ally na Mohammed Mahamudu mkazi wa Ngusero...