Polisi Mwanza yamshikiliwa Askari PC Joel Francis kwa mauaji
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limeamshikilia Askari No. F 4965 PC Joel Francis almaarufu Masai kwa tuhuma za kumpiga na kumsabibishia kifo kijana Donald Magalata ambaye alikuwa akiishi naye kama ndugu.
Tukio hilo lilitokea Januari mosi mwaka huu majira ya saa 7 usiku katika kambi ya polisi Mabatini jijini Mwanza.
Askari huyo anadaiwa kufanya tukio hilo mara baada ya kubaini kuwa katika pochi yake iliyokuwa na kadi mbili za benki na kitambulisho cha kazi havipo hali iliyosababisha mzozo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
THBUB yalaani mauaji ya Askari Polisi na kujeruhiwa kwa wanachama wa CUF
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.
Tamko la Tume kulaani mauaji ya Polisi.pdf by moblog
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
THBUB yalaani mauaji ya askari polisi na raia Stakishari — DSM
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.
Tamko la THBUB kulaani Mauaji ya Polisi Stakishari-DSM.pdf
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Joel Bendera awapa somo askari vijana
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka askari vijana nchini kutumia muda wao kubuni njia rahisi ya kukuza uchumi kupitia fursa zilizopo katika maeneo yao badala ya kufanya uovu....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TutPqtHSKEY/VNN7ThDmasI/AAAAAAAHB_o/ex3b-jQDxFc/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Askari sita mbaroni kwa mauaji
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.