Polisi wampa kipigo mtekaji nyara Australia
Uvamizi ambao uliendelea kwa masaa 16 nchini Australia ambapo mwanamume aliyekuwa amejihami na kuwateka nyara watu ndani ya mgahawa mmoja mjini Sydney umemalizika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWIZI WA BIBLIA WAMPONZA KIBAKA DAR, WANANCHI WAMPA KIPIGO 'PAKA MWIZI'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ndonga mkazi wa Majumbasita jijini Dar es Salaam amejikuta akipokea kipigo cha 'Paka mwizi' kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua Biblia ya muumini wa dini ya Kikristo aliyekuwa akielekea Kanisani.
Tukio hilo limetokea leo Juni 7,2020, saa 12 asubuhi Njia Panda ya Segerea eneo la reli ambapo kijana huyo kabla ya kukwapua Bibli hiyo alitoa panga lake na kisha kumpiga na ubapa wa panga mgongoni muumini huyo...
9 years ago
GPLPOLISI YAKAMATA BUNDUKI, BANGI, NYARA ZA SERIKALI
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Unataka kipigo! Chezesha polisi
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Jeshi la Polisi Singida lawashikilia waganga wa jadi wakiwa na nyara mbalimbali za serikali
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, limetangaza vita dhidi ya waganga wa kienyeji wasiokuwa na vibali ambao wanajihusisha na kutoa ramli chonganishi. Jeshi hilo limeanzisha msako mkali kwa waganga hao na kufanikiwa kukamata wanane katika kata moja ya Minga katika manispaa ya Singida.
Akitoa taarifa ya msako huo ulioanza machi 16 mwaka huu saa sita mchana, Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida,...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Waganga wa tiba mbadala Singida wanaotumia nyara za Serikali kupigia ramli chonganishi watakiwa kuzisalimisha Polisi
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Mahabusi afia mikononi mwa polisi kwa kipigo
10 years ago
Vijimambo21 Sep
Jeshi la polisi lawashushia kipigo wafuasi wa Chadema Morogoro.
askari polisi kuzingira barabara na maeneo kadhaa ya jiji hilo baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuendelea na maandamano hayo licha ya kuzuiwa na polisi.
Hata hivyo, maandamano hayo yaliyopangwa kupinga kuendelea kwa Bunge Maalumu la Katiba, mjini Dodoma, hayakufanyika.
Chadema jana ilitangaza kufanyika kwa maandamano katika mikoa ya Arusha, Iringa na Morogoro ambapo Jumatatu yangefanyika mikoa ya Manyara, Kilimanjaro, Mbeya , Mwanza , Musoma na Tanga.
Baadhi ya...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Lipumba awanusuru vijana wake na kipigo cha polisi
Na Elizabeth Mjatta na Asifiwe George
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amezuia maandamano ya Jumuia ya Vijana wa chama hicho Taifa (JUVICUF) kwa kile alichokieleza kuwa ni hofu yake ya kupigwa , kuumizwa na hata kuuawa na Jeshi la Polisi waliokuwa wamejipanga kuzima maandamano yao.
JUVICUF walipanga kuandamana kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuishinikiza kuongeza muda wa uandikishaji katika daftari la wapiga kura.
Maandamano hayo pia yangefika hadi...